hapa kwangu ni ujisort,hakuna super wala nn , anything you see kwa fridge kula na here I am 2 yrs and one month sijawahi ona kukipikwa
2024-04-27 12:01:53
3
sha shazy :
🤣🥺they cook only one meal per day am wakae week bila kupika
2024-04-27 08:40:43
6
user9831075205251 :
me my first day nilikaa hadi saa tano nomengojea supper let me tell you maina kiliniramba😁😁😁
2024-04-26 19:29:08
8
Vanny :
am telling you maina i slept hungry three days almost to die🤣
2024-04-27 08:18:24
5
fiddieshix :
Haki and the way me and cold buffet are Abadan Katan 😳
2024-04-27 20:19:14
3
verahvesh5 :
I suffered my friend
2024-04-26 14:03:11
1
Faith 🥰🥰🦋🦋 :
Reality!!! but nimezoea
2024-04-26 11:48:58
3
Trecy mueni :
so heart💔 aki
2024-06-20 13:03:31
0
odegaad :
umesema macarona?
2024-05-25 16:46:27
0
catherinenjeru693c :
But wanapika GA usiku WA manane wanakula unaipata vyombo kwa sink unashangaa
2024-04-26 12:33:59
6
usernanaflo311 :
kunapikwa only lunch na sio siku zote na kukipikwa serving yako nkaa ya mtoto bana aki hawa watu😂😂
2024-06-20 07:30:25
0
Maggie Sonnie :
nakwambia hku n kusurvive jameni 🤣 mm nilishangaa hku hawapiki sapa ama wameamua tulale njaa 🤣
2024-04-26 11:34:40
4
mama yao :
Nilitezeka lkn saii nimezoea yaani mtoto anatafuna kbubus n cucumber😂😂😂
2024-04-27 17:39:49
1
SHARRY❤🎀 :
Nilidhani niko pekeangu😂😂😂
2024-05-16 12:33:27
1
brendahmudee :
Mm nlitwa cku ya kwanza kitu sakumi kuja ukule lunch niko zile za lunch sakumi tena magiza sapa Kumbe ukikula hyo sakumi kwisha 😂😂😂🤣hawa watu
2024-07-11 09:56:04
0
it'skall :
😂😂😂me nafurahia juu sioshangi mavyombo
2024-06-13 15:40:49
0
monchari :
hapq kwangu hata hiyo lunch inakuwanga n miujiza tu halfu jioni unasikia mtoto nipee popcorns na mama nitengenezee coffee na hiyo b.o.x kwa blanket
2024-06-08 17:30:47
0
Hadassah Yule Essy#54 :
hadi vitunguu ya matawi🤣🤣🤣
2024-06-07 22:44:39
0
Alicia back up :
ndo maana hawanoni 😢wako Tu kama chira nktnkt wananisinya 😢
2024-06-01 10:09:33
0
husseintuwa :
hiyo vitu nimemiss sana
2024-05-31 12:44:36
0
okra💦💦💦 :
na ukidmshazoea unakuwa gaidi sughu Sasa🤣🤣🤣🤣
2024-05-24 15:48:16
0
Sandra sandy :
Nakuambia
2024-04-29 18:36:07
0
jecinta kihungi :
😂😂😂
2024-06-21 10:12:55
0
teso.lady :
h😆😆😆😆😆😆😆
2024-06-27 01:56:19
0
wairimu :
one first two weeks I suffered I cried again and again until I joined them eating those matawi mbichi waah
2024-04-26 19:16:27
7
mama lynn :
like today nmekula 12 hadi saizi sijaona kitu kitchen is dry and empty
2024-04-27 23:40:01
2
Ann Tops :
😂😂😂😂for now nimezoea
2024-04-27 12:19:02
1
scolah 💙💜❤️ :
wee nimefikiwa nilidhani dinner n kitu tamu acha nione matawi karibu nilie 🤣🤣🤣
2024-04-27 10:30:36
1
Meecy Mooh :
woooiiiii I suffered ushawai amka usiku midnight ka umeshnda kulala ju ya njaa🤣🤣🤣🤣🤣
2024-04-26 13:32:51
1
Ann Mwangi :
Gai mm narudi kwetu tu
2024-04-26 11:31:36
1
🌹🎀💐jully dresh💐🎀🌹 :
😂😂😂
2024-06-08 02:24:41
0
Queen babzz🥰 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2024-06-07 17:27:20
0
DEAR ME :
😂😂😂
2024-06-01 10:15:46
0
shanier :
😄😄😄😄😄😄😄!!! weeeh nilingoja wapike hadi nikachoka
2024-05-27 20:38:20
0
rose Joseph :
unangonjea sahani imenjaa food kumbe hakuna 🤪🤣
2024-05-27 17:15:44
0
joanmidika5 :
🤣🤣🤣
2024-05-25 18:14:37
0
Virginia :
😭😭😭
2024-05-25 17:34:04
0
Hoob Habe :
😂😂😂😂😂
2024-05-24 19:58:23
0
juwaan 💕 :
walaii😂😂😂
2024-05-17 08:30:26
0
user8035531053774 :
😂😂😂
2024-05-16 00:09:59
0
bijoux :
😂😂😂
2024-05-12 09:56:00
0
Macie :
sidhani ka naeza survive bila ugali🤣🤣🤣, wacha nibaki Kenya tu
2024-05-09 11:33:31
0
Ann Bliss825 :
nilikapitia LB
2024-05-07 05:50:58
0
user6533638959474 :
😂😂😂😂
2024-05-05 07:36:08
0
Judy Blessing 1 :
Nililia jaa 2014 😢😭😂🤣🤣kabla nizoee
2024-05-04 15:46:26
0
Blessed :
😂😂😂😂Niliteseka 3months sikuwai lala juu sishibi .....walai gulf ina ushuhuda na discipline kama chuma laini
2024-04-29 21:42:21
0
harriet kinandi :
uyo ni mm aky bit utado? watu wanaplan wakihome waende kkulana n mm nitaenda kkula ugali
2024-04-29 17:25:25
0
kambabae :
na utaskia wakisema Africa is poor na meal tatu a day tunafell nikama maisha imetukalia😹😹😹
2024-04-28 18:28:49
0
Joy :
akii mm nikiingia jikoni nafwatwa ama wanajifanya kupika ili niendelee kufanya kazi zingine Hadi saa Saba aki nfanye je na some time Malala njaa juu wamejaa jikoni na kunichunga tu
2024-04-28 17:07:13
0
VACKER TRENDS :
zoea🤣🤣🤣
2024-04-28 15:59:52
0
To see more videos from user @marynjesh254, please go to the Tikwm
homepage.