@professor_nkwela27: OGOPA LAANA YA BIKRA watu wengi huchukulia poa suala la bikra lakin kama kuna vifungo Hatari Duniani Basi Kifungo cha Bikra kimetesa wengi kimya kimya na mbaya zaidi hata Manabii hawaonyeshi Jambo hili wala waganga hawaoni kamwe ni Vita ya siri san ambayo imejificha Utahangaika wee lakin wapi #foryou #viral #kenyantiktok🇰🇪 #maisha #tiktoktanzania🇹🇿 #maisha #mapenzi #tiktok

Professor Nkwela27
Professor Nkwela27
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 26 April 2024 14:00:31 GMT
790343
38031
1948
3693

Music

Download

Comments

asaelakiboss
Akiboss hair :
sisi ambao hatuja toa mutu ubikra tujuane hapa
2024-04-26 15:08:11
295
mariamu321
mariamu321 :
allhamdulillah, yarrab mfanye ateseke mpka pumzi yake ya mwisho, asife haraka ataseke sana zaid ya alivyoninyanyasa mimi. Amiin
2024-04-26 18:00:09
128
user937391134
rahma 99 :
Mimi aliniaaca my brother tuelekeze plz🥺🙏
2024-04-26 19:44:52
83
islamic_motivates_speker
islamic speaker ☪️🕋 :
tunawo mkubali uyu mwamba tugonge like
2025-05-13 20:27:37
71
samwelgibogo
samwelgibogo :
Sio kweli bro watu tumevunja bikra nyingi na Maisha yanaendelea tupo tunawatoto tunamaisha frsh kabisa
2024-04-26 23:49:23
44
user51414521460181
user51414521460181 :
well said bro sema ukwel uokoe hii generation
2024-04-26 19:08:33
147
dominicshaah
Domination tz🇹🇿 :
Any Tanzanian here🇹🇿
2024-05-15 19:15:43
18
kasasaart
kasasaart :
Me hizo bikra nimetoa kama 5 hivi na bado nadunda tu 😂😂
2025-05-13 20:04:54
8
hajraafyabora
[email protected] :
namuomba mungu anijaalie mume mwema na mwenye kheri na mm
2024-04-26 19:12:58
51
skyc088
adriaarc :
kama mtu alijitoa mwenyewe?
2024-04-26 17:30:50
19
user2005032526973
mimah mmengatiktok.com/@user20 :
me alinitoa bikra alaf badae anasema nilikukuta si bikra inauma😭😭😭
2024-04-27 21:05:33
22
nasrakipanga
nasrakipanga :
vpi kwa walio bakwa
2024-04-26 17:56:55
10
khalfan9666
@khalfan+228💭💭 :
heri nipigike kuliko kuacha kumtoa m2 bikra labda me siyo me🤣🤣🤣🤣
2024-04-26 18:30:43
10
japhtgeorge32
J - Grg :
yah hii inaweza kuwa kweli ni hatari sababu unapotoa bikra inahusisha damu na damu inaweza kuhusika kamaa agano ambalo umeweka na huyo mtu
2024-04-26 16:25:50
6
blackx_director
Black X :
Kila kitu kinatisha hii Dunia😹😹 Tuacheni wazee
2025-05-13 09:39:36
5
gerd20002
glad :
Aah kwahiyo brazaa ww ndo uliyegundua😂😂😂😂
2024-04-26 17:38:19
17
jackson.mhande
Jackson mhande :
mimi nilimtoa lakini akaniacha mwenyewe
2024-04-28 09:33:49
7
naah.mchekula
Naah🥰🥰 :
ah bora nikae na bikraaa yangu mwenzngu🥺
2024-04-29 17:37:36
5
rosemaryrwabibi
Rosemary Rwabibi :
kaka umeoa😂😂😂😂😂😂😂
2024-04-26 14:53:02
11
rd.ben069
Rd Ben069 :
kama alitaka niivunje Mimi yeye ndo aliileta ko m nifanyeje?
2024-04-26 18:30:27
14
fes.twins
Fes twins :
Umeongea kitu kikubwa sana bro MUNGU akuweke
2024-04-27 08:03:06
6
zakkaria_peace
Zakkaria Abdon :
Mkuu huwa unazungumza point sana. MUNGU Akubariki sana Kiongozi.
2024-04-26 15:48:27
7
ezlati7
It's Ezlati💎 :
voice kama ahmed ally but umenena thanks for ur good advice🤝🤝🤝🤝🤝🤝
2024-04-27 14:45:53
55
stopajiwegandamawe
stopajiwegandamaw :
ndomana matajiri ni wadogo kuliko maskini jamani kumbe mpaka bikra inazuiya mafanikio?
2024-04-26 14:45:24
17
aminasautiyajalalani
Bi mzuri 777 ♒🧘‍♀️ :
Mbona kama uniambia mim mwalim jamani 🥺
2024-04-26 14:26:19
10
To see more videos from user @professor_nkwela27, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About