Sheikh Nassor Bacho, Allah akulipe Jannatul Firdaus Amin
2024-04-28 06:52:33
13
Omar Sakawa :
hio swala ya maiti haina qur'ani?
2024-04-27 14:04:41
14
user5333211248412 :
Mtume hakusoma,jee kwakua hakusoma ndio haifai kusoma?
2024-04-27 08:26:55
5
Amani Mustafa :
shekhe waleed ni shekhe ubwabwa
2024-05-10 09:03:31
15
khamsoyussuf :
kisimi tena 🤣🤣
2024-04-27 10:07:55
5
jokhary :
mbona tunatakiwa kuacha watoto wema wataotukumbuka kwa dua hii imekaaje
2024-04-28 08:58:55
8
Manhaj salafy :
unajua kun watu mupo kiubishaani to sasa mtume na ss nan anaijua dini
2024-04-27 04:35:57
19
حقِلِلَح تَعل :
Huyo nassoro bachu amekuwa yeye swahaba kwani?
2024-04-29 15:23:49
1
PhoneStop :
Mtume hakufanya lakin yamefanywa na swahaba wake wanazuoni wake ambao ndio warithi wake!
2024-04-27 08:14:57
1
mzeemwinyihassan :
bachu alikua chizi na mwanawe karithi uchizi
2024-04-29 12:14:29
3
asadabdul39 :
mtume alifanya?
2026-02-08 21:45:48
1
Akil :
kime umana huko achaneni na uongo waislamu njoeni kwa yesu kristo yeye ndie njia kweli na uzima
2025-04-17 07:04:33
1
senzo :
shekh waleed umeteleza sana una takiwa uyapitie mawaidha ya Al marhum shekh nassor bachu Allah amrehemu Inshaa Allah yeye alikua ni taasisi ya elimu ya dini ya kiislam kwa tanzania hii.km alivyo Al marhum shekh abudu rogo kenya
2025-06-09 09:31:51
1
abuu ubeda :
bachu muongo kwanini tukimswalia maitintwasoma fatiha kwanza pili tumswalia mtume tatu twamuombea Dua maiti vp fatiha siquran
2024-04-27 16:42:38
2
Hamza Abdul :
Wote wapo sawa ila inategemea na nia ya msomaji quran
2025-03-13 12:10:38
3
Abuu Ridhwan :
Ibada bila ya sharti mbili haikubaliwi
1.Ikhlas
2.Iwe imethibiti kutoka kwa sunnah
sasa kusomea Quran maiti imethibiti wapi katika sunnah?
2024-04-30 07:35:37
5
BRIGHT STAR COLLECTION :
tatizo ni elimu mawahabi munakaa kupinga pinga ilmu hamna someni kwanza
2024-05-13 09:49:57
2
child rashard :
quran inasehemu yake kusomwa sio kusoma kwajili ya kupelekea thawabu maiti
2025-10-14 21:00:23
1
mustafa abdul :
tunamfuata mtume sio sheikh walidi
2025-06-01 16:50:16
1
sparrows :
wale wote wanaita bidaa kwa mauridi au kisomo cha Quran kwa waiti basi waache, kutumia vifaa vya kisasa kama speaker kujirekodi video kuangalia TV sababu mtume hakuvitumia
2024-06-18 08:05:50
3
King Humud & Fuad Al-Hinai :
je kusoma QURAN KWENYE SIJDA INA JUZU KAMA HAIJUZI BASI KILA KITU KINA MIPAKA YAKE
UZUSHI NI UZUSHI TU
2024-04-27 12:38:06
4
To see more videos from user @hamadnassor0, please go to the Tikwm
homepage.