@ck_ommy: Replying to @Rick😜😜

ck_ommy💀🚩
ck_ommy💀🚩
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 28 April 2024 17:25:35 GMT
19000
876
52
4

Music

Download

Comments

davidoking851
davidoking851 :
Ukiwa na majukumu uwezi kuzingatia muda wa kulala mdogo angu ,huu ndio muda wako ukiwa mkubwa kila siku unalala kesho 😂😂kuhusu kula vizuri usahau kuna ugali dagaa,ugari aharage na matembele.
2024-04-30 09:47:36
2
dee.colah
dee colah :
bado pambana
2024-04-30 23:04:37
1
adewizze
Ade Wizzy :
mkuu naomba nisaidie Namba yako ya WhatsApp
2024-06-02 19:31:04
1
fedharubenofficle
@tzm tz :
ivi kupunguza kula kunaweza kujenga mwali..kama ivoo
2024-05-06 16:36:06
1
mmgrant1
mpokigranfx :
natamani sana tizi lakini sina hamu nifanyenin
2024-04-29 11:05:21
1
njau059
NJAU 🇹🇿 :
shida huli kinana 😁
2024-07-27 08:41:44
1
davisonkhan
official deba :
vip nipge zoez gan ili ninyooshe 2mbo na mgongo nitoe nyama zembe
2024-04-30 09:24:01
0
ilakuzisoraa
Amani :
na hisi ni week 2 matokeo yanaanza kuonekana mw kunywa maji ya kutosha
2024-05-26 04:51:08
0
brammytz1
Brammy Tz1🇹🇿 :
wape course mdogoangu watu hawaelewi ongeza sauti basi watu waeleweee 😂🤣
2024-04-28 17:44:49
0
brammytz1
Brammy Tz1🇹🇿 :
🤣😂😂😂🤣🤣😂😂
2024-04-28 17:43:33
1
user6860067804555
kijanaa :
nipe zoezi ya shoulder blo
2024-07-03 14:41:12
1
mmgrant1
mpokigranfx :
asante
2024-04-30 09:48:24
1
bboy_panado
B BOY PANADO :
miezi mitatu? dah utakua unatumia Proteins
2024-04-29 22:46:14
2
yildiz_kenan7
king Yildiz :
chest hiyo bado na mbawa jitahidi kdg
2024-05-04 16:48:09
1
amanifernandez645
Amani Fernandez645 :
wazii blood
2024-05-01 20:25:44
1
fuad_33
fuad 46 :
wewe kama una muda mchache ni mwaka mmoja kwenda juu miezi 3 uwezi kujenga mkono na wa nyuma hivyo na mkono wa mbele sana sana kifua naweza kukubali ila mkono HAPANA
2024-04-30 12:05:55
1
mulamilwa
Romy :
😎 real man
2024-04-29 13:41:10
1
moreenfelluzy
moureenfelluzy :
mh mm siwez kbs .... 😂😂😂😂 nilijalib wik moj weeee mwil ukichk san sikutak kuendlea 😂
2024-04-29 13:31:34
1
franklubricants1
Frank lubricants 🚘🏍️ :
nakubali kaka
2024-04-30 08:47:17
0
ramatraine
RAMSEY :
namimi nini kiongezekee
2024-04-30 06:48:04
0
user6072375851794
offset family :
blo nipe latiba nakama miez3 now napiga
2024-04-29 10:52:58
0
alfredmanana
alfredmanana :
kwaiyo kama ukitaka kupiga mkono wa nyuma unapiga kwa siku moja na kesho yake siku moja unapiga staili nyingine
2024-04-28 17:57:27
0
To see more videos from user @ck_ommy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About