@hiphop_neverdie73: BRO UNAWEZA UKAMUONA DISH LIMEYUMBA LAKINI TKINK TWICE SOMETYM ANAONGEA FACTS SANA CHID, ESPECIAL KWA HII MOMENT YA CHINO ALIPOAMBIWA KWENYE SOCIAL NETWORK NAMBA ZINASOMA KUBWA LAKINO KWENYE SHOW NAMBA NI NDOGO NI KWANINI...?? #hiphopmusic #hiphopculture #hiphop #viralvideo #tanzaniatiktok🇹🇿 #😁😁😁😁😁 #funnyvideo #tiktok_kenya🇰🇪 #rwandatiktok🇷🇼 #facts
shisha na kujambaa watu wanaonag kama dawa zimempoteza ila mwana anavitu vingi san
2024-04-29 16:32:55
61
silver-Tz :
uyu jamaa anaongeaga point xana lakini kutokan̈a na vile alivyopitia watu wengi wanambeza na kumzalau xana...😌😌😌
2025-03-28 01:53:05
51
bmtzphones :
Very point broo
2024-04-30 04:41:11
11
TIBA LISHE.BF SUMA :
Chid the genius
2024-04-29 13:41:47
24
Hasbob Micharazo :
huyo ndo King kong ana madini yakutosha kichwani 🔥
2024-04-29 20:16:21
25
12FEB🚷 :
Kuna wa2 wanamuon chid Kam kadata haswa Hawa waandish maswal ya kisenge ila chid anapg kwny mshono
2024-04-29 20:56:24
8
Viny Swax :
chid mnamuona chiz ila point za masters
2024-05-01 13:12:40
13
Salim_sportwear :
Videos online ni mjumlisho wa watu wa mikoa mbali mbali nchi mbali mbali yaan huezi safirisha shabiki wa musoma waje kwenye shows ndoman wasanii husafiri na kufuata mashabiki Nje ya hayo chino bado
2024-04-30 08:03:34
9
$$🤑 :
very good point broooo but so how fine😂
2024-05-07 01:30:25
6
Kiithy :
huyu jamaa kavurugwa😂😂💔 chid🤤
2025-06-30 14:57:41
5
i am___Yona :
huyu jamaa ana akilii sanaa an tena ana iq kubwa sanaa
2024-10-30 05:44:54
5
mkuu wa kayaa 🇹🇿🇺🇬🇰🇪 :
oya chidi kaongea kitu kikubwa sana huu ni mgodi unao tembea
2024-04-30 03:30:51
8
kebby255 :
TUFANYE VITU VINGIVINGI MIM NA YEYE kwa waliosoma quba tuuu 😂😂😂
2024-04-30 07:30:24
5
Msomali :
nacho jifunza ni kwa wanahabar wengi uwezo wao ni mdogo sana kumuelewa Chid
2024-05-16 17:53:19
5
Negstore :
Benzino❤️till die
2024-04-29 18:02:17
20
Bonanza boy 255 :
😂😂 chid bhn mty wa fact
2024-04-30 01:56:54
13
Eddy Sr. Namiyuya :
muhuni ana points sana child,
2024-05-20 13:44:46
5
fonabo nipsey :
anaonge fact sana king wa hip hop
2024-04-29 15:29:40
7
cute dda🥰👌 :
genius jamaa hyu bas tuu
2024-04-29 20:09:30
5
Gardenboy01 :
true love....
2024-04-29 14:18:51
8
21 :
Old is gold 👏👏 chid
2024-04-29 18:08:53
5
Van Brown Mobile Phone's 📱 :
Tuliona kuna Fact kw Chid Gonga like hapa
2026-03-16 11:34:12
5
kingcharmmy 🍇🛣️📸 :
hivi @chinno alimwelewa Mzee 🥺
2026-02-03 19:43:42
3
“Brokers‑Tz” :
hajawataka wengi 300two
2026-02-10 17:06:04
2
To see more videos from user @hiphop_neverdie73, please go to the Tikwm
homepage.