@faidikatv: #tiktok#trending #fyp #tiktokworldwide

Faidika tv
Faidika tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 April 2024 14:42:26 GMT
354291
9723
575
3435

Music

Download

Comments

official.iminas
official iminas :
kwangu ni wengi wanapanda pak kitandani nikiota ndoto mbaya wanajaa kichwani nawafukuza wanarudi
2024-04-30 20:56:48
12
borare_queen
BorareQueen :
mie najua sisimizi wakiwa wengi huwa wageni watakuja kwenye nyumba hiyo. na wakiwa na vitu veupe wamebeba waambiwa ni mizigo
2024-04-30 18:30:46
2
ibra8166
cody :
sisimizi ni nini ustadhi
2024-04-30 16:47:52
4
user979977211136
user979977211136 :
na mijus kafir tunaifukuzaje shekhe
2024-04-30 15:01:27
4
siddy1
Sidy :
sisimizi ndio nini woii kiswahili balaa
2024-04-30 16:32:05
1
royaltyswaleh2
Rayana's cakes :
asalaam aleikum...je mijusikafiri yana ishara gani haswaa wakiwa wengi
2024-05-06 13:43:04
2
darlinhd16
Hd16 :
Mshenga Wang Mashaallah Amiin thumma Amiina
2024-05-01 20:38:43
1
mwachoyo4
mwachoyo :
A a unaposoma kila unapofika kikomo upulize ama ukishamali kusoma ndio upulize punzi
2024-04-30 14:58:37
2
user8605705652411
user8605705652411 :
usrtadhi pliz nielezee nyumba iliojaa lizard plz.na ntawatoa vp kwa nyumba
2024-04-30 17:40:41
1
mankahijab1
Mankaa :
Alhamdulillah shekh :nlikusikilizaaa vizuriii:na nilifanyaaa kama unavyosemaa:Alhamdulillah shekh sisimizii waliishaa na mijusiii
2024-07-04 13:48:28
2
walikukunazi
walikukunazi :
Kwangu wapo sisimizi wekundu wanatoka nje hadi chumbani kwangu mie sasa
2024-05-01 06:03:47
2
user36835711361912
user36835711361912 :
hee nyumba kama ina mchwa na panya unaweza kutumiya hayo maji
2024-05-06 10:00:28
1
ibnabasi4
ibnabasi4 :
nipe dalili ya kua sisimizi wakiwa ndani nyumba ina hasad mbona hua wanafata sukari na chakula kilichoanguka
2024-05-02 08:54:37
1
peace_mm1
Dotto Masanja :
Ameen lakini Na kwa asiye muislam 🙏🏾
2024-05-06 11:58:46
1
shamsahjush
Shamsa001 :
na Usthadh kama uso wako una husda ...wafaa kufanya nn
2024-05-12 19:53:00
1
its_bluebunny
tweety :
Mbn wengine wanasema sisimizi ni barka
2024-05-09 13:49:27
1
amandazu3
Amanda :
Amiin
2024-05-13 10:30:21
1
aliiramadhanmasha
Alii Ramadhan Mashauri Alii :
Amiin Amiin Amiin
2024-06-03 10:53:35
1
its.tymer
warda :
ameen yaarab thuma Ameen shukran brother
2024-04-30 17:59:59
9
user7950724228062
S s Mkwama :
panya je
2024-04-30 16:38:55
1
salyaramsi
salyaramsi :
mimi niko saudi lakini kwa room yangu kuna chingu weusi wengi mpka choo..wapnda mpka kitandani
2024-04-30 20:31:26
3
user2337516980161
Mrs mohamed nyale :
na mende wadogo wadogo sheikh tunaondosha je
2024-04-30 21:02:36
1
user3832034647460
Subra Ernest :
Amiina 🤲
2024-05-01 04:24:01
1
user8615966671591
user8615966671591 :
amin
2024-05-07 16:40:09
1
munevver_tz
munevver_tz :
nyumbn kwetu wapo tena wakubwa na wakikutafuna wanauma hatari na wapo kila sehemu...
2024-05-01 05:41:32
1
To see more videos from user @faidikatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About