This is ukweli wa uwazii ila sijuwi wake zetu jamani uwaa amusikie kila siku ma sheik wetu ma ustadhi nawatowa mawaidha kwa bure Kabisa daah ya rabbi wape moyo wausikilivu wajawako inch’allah wanaum😭
2024-05-06 06:46:12
4
.. :
kweli kabisa
2024-05-05 14:17:51
3
missutuda :
sasa kma mume hakuchumiii je pia umtiii....?
2024-07-20 03:18:12
2
the_praivate_alparslan :
maashallah mabrouq
2025-12-24 14:03:17
0
said too8894 :
plz MUNGU ajalie wangu pekeangu nshachoka kushea😭😭😭
2024-06-20 06:49:22
0
Benjamin njau :
hadimu sana
2024-07-11 02:30:13
0
user5926348726165 :
Inshallah Mwenyezi mungu atuwezeshe
2024-07-11 11:49:27
0
Natasha :
hata ukawasaidiya uwe na huruma wanahagaika wakipeleka njee ilaiti waume wagihagsika kwa kujuwa sisi wake madada mabinti sio wote wajagaikao kwa wake zao