@kibonaeliah:

user1320428151496
user1320428151496
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 06 May 2024 09:53:45 GMT
23314
971
50
14

Music

Download

Comments

felistermwaipopo
felistermwaipopo :
Leo ujasali Kipnz changu Mimi Why u Forget it 😭😭😭😭
2024-07-15 20:50:58
0
user9581984472083
Mcheku :
Hakika wewe ni dereva wa mfano.Mungu akubariki sana
2024-05-07 09:26:43
3
rosebriliant
Rose Mariki :
mungu atakupigania kila siku na utastaaf kuendesha gari ukiwa mzima wa afya na sio kwa ajili ya matatizo weka imani zaidi naimani.wewe ni mfano bora
2024-05-07 09:12:22
2
pstkndirangu1
DESTINY LIBERATION :
zaidi ya maombi u msafi kaka, waakilisha Mungu kila corner
2024-08-05 20:01:21
0
user32726844009388ibra
user Ibrahim :
Wana wa ngurumo mungu azidi kuwabariki dereva na kondakita nafulai kuwaona mkishikamana katika kaziyenu safarinjema
2024-07-30 20:45:00
0
agnessnjeri88
Agness Njeri :
madereva wote waige mfano huu bora ili MUNGU awe pamoja nasi shetani asipate nafasi kwetu🙏
2024-07-30 06:19:14
0
user6141981038502
user6141981038502 :
ILETE DAR TO ARUSHA KAKA😂🔥
2024-07-25 13:52:35
0
yune.emanuel
Yune Emanuel :
ukipanda gali hili hujutii kwakwer
2024-07-20 18:55:45
0
shaibuwatson
Shaibu Watson :
hongera dereva kwa kumtukuza mungu kila ck na mungu azidi kukulinda ktk safari
2024-07-16 11:54:55
0
danieljimmymwalisu
Daniel Jimmy Mwalisu :
Amina
2024-05-13 22:34:06
0
user97583992367553
mtage ogg :
soryy hii ni bus gan yutong au bus gan maana nimeshidwa kuitambua kabisa
2024-05-13 03:31:27
0
elenest23
elenest23 :
dereva mungu awepamoja nawe uwapo katka stering
2024-07-12 09:46:09
0
peter.mathew24
Peter Mathew :
hongera sana dreva
2024-07-16 05:47:00
0
atupele.ndile
ATUPELE NDILE :
emwenyezi mungu naomba ulizi wako ju ya mtumishii wako huyu
2024-05-07 08:37:28
2
nelsonjoseph77
nelsonjoseph6561 :
mungu akubariki
2024-05-08 12:49:16
1
niko..ambae...niko
Niko--Ambae-- niko :
kaka nasemajee yesu akutunze na kukulinda pia iweni na moyo huoo ufanyapo kazi yako
2024-05-07 08:24:49
1
user7527172036281
user7527172036281 :
VERY GOOD BROTHER
2024-05-07 07:09:39
1
user6465223994633betty
user6465223994633 Bettytumain :
Haleluyaaa,
2024-07-25 18:46:51
0
edgar.mwaiswaga
Edgar Mwaiswaga :
Hongereni sana kwa kazi nzuri.
2024-06-30 20:27:42
0
musasamweli3
musasamweli600 :
kibona mungu awe nawe katika safali zote za udereva wako popote pale unako kwenda ameni
2024-06-29 17:38:12
0
mshingojunior2
Mshingo junior2 :
kampuni gani hiyo natamani nipande bus hii
2024-05-21 10:18:48
0
owinley14
owinley14 :
ni gari gani hilo?
2024-05-20 14:05:39
0
ahoyavin
Wise Man :
from kenya l like the bus lkn barabara n mbovu you poor infrastructure
2024-05-19 20:15:37
0
stevenleonard74
Steven Leonard540 :
Safi sana
2024-05-19 04:03:11
0
ps_rm4
PS_RM :
Mungu akubariki na kwa chanzo wewe wazaliwe wengi kama wewe
2024-05-19 01:02:20
0
godfreyalex85
Godfrey Alex :
kaka ulisahau mkanda tu ila mungu akupe maisha malefu ili uwe mfano wa wengine🔥🔥🔥
2024-05-17 22:29:31
0
doreencenamonje
Doreen :
safe journey
2024-05-17 17:09:17
0
boniphaceenock
boniphas :
uko sawa
2024-05-17 14:14:26
0
user233407622709
Moi Umeme :
jina la huu wimbo tafadhali?
2024-05-17 14:10:37
0
user3989487013481
Diana Msollo :
Mungunamekupa kipaji cha kuwa dereva
2024-05-17 12:11:38
0
castotewele7
CASTO :
mungu amekupa kibar cha kuwa dereva bola
2024-05-16 16:08:17
0
edsonromanus2
edsonromanus :
kaka mungu hawezi kukisahau pia unapakiza abiria wenye tabia tofaut
2024-05-16 02:56:54
0
paulmatongo6
paulmatongo6 :
nimekukubali deve mwenzangu
2024-05-09 11:25:11
0
rehemamut
Rehema mutaboyerwa :
umenibariki sana Bro Dereva wangu.Asante sana MUNGU AKUTUNZE NA KUKULINDA KILA UENDAKO
2024-05-09 10:22:40
0
amos2891
amos :
mungu akubariki popote uingiapo na utokapo mtumishi
2024-05-09 10:09:22
0
user6291250089767
user6291250089767lucy mzava :
gari ya wapi nimependabderevabyuko na Mungu
2024-05-08 06:59:07
0
user2119914252993
Eliazari Antony :
❤❤❤
2024-05-08 06:23:04
0
trayness3
user18790690561722 :
aaa mwamba
2024-05-08 03:27:34
0
emmanuelmwesongo1
Emmanuel Mwesongo :
gari gani hii na luti ya wapi
2024-05-07 18:29:10
0
marry_142
marrymkiramweni :
Wewe ni kiyoo cha jamii Mungu akutunze..
2024-05-07 16:57:51
0
abdonaudax
Don Diesel :
Amina
2024-05-07 15:35:52
0
wilegalus
Wile Galus :
asante sana dereva smart
2024-05-07 14:28:41
0
msuya.idrisa
Msuya Idrisa :
mjomba shkamoo
2024-05-07 11:36:34
0
elshadai893
elshadai :
Uwe makini sasa maana teyari umeshawaamsha wajomba🤔
2024-05-07 10:03:11
0
elshadai893
elshadai :
Amina🙏
2024-05-07 10:02:24
0
joyceshija6
joyceshija6 :
🙏🙏🙏
2024-05-07 08:14:36
0
user734088681474
user734088681474 :
hongera shemu
2024-05-07 05:04:07
0
user7737663250619
user7737663250619 :
smart kama mbunge
2024-05-07 04:07:40
0
user7737663250619
user7737663250619 :
safi sn drv
2024-05-07 04:07:05
0
To see more videos from user @kibonaeliah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About