@nuni_the_healer: Majibu ya mshumaa #mshumaa #swahilitiktok #swahili #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #foryoupage #fyp #fup

nuni_the_healer
nuni_the_healer
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 06 May 2024 13:46:27 GMT
107120
5403
208
582

Music

Download

Comments

auntie_rasta
NESS BEAUTY AND RADIANT :
Msisahau kutoa na sadaka waambie faid ya sadaka👌
2024-05-06 20:42:49
13
darlingdarling048
Darling :
jana nimesali kwakutumia mshumaa jamn ilikuwa unawaka umenyooka hata yale maji yake hayakushuka kabisa mpk namaliza
2024-05-27 17:56:54
9
suzananiima
Bensuda👀 :
that why nime ku follow kipenz 💙💙💙
2024-05-07 05:20:06
7
user4101942523101
kimware :
ambao tuna lala chini yaan niodoro na mkeka tu ety umeweka wapi??
2024-07-30 17:43:40
0
thuma01thuma
Thuma :
dada skuizi sipati ndoto naomba msaada wako
2024-06-23 20:07:04
3
tetherclub74
tetherclub ⚽️ :
how about ubani??
2024-05-11 08:05:06
6
luto_baby86
Luto_baby86 :
mshumaa wa kijani unapatkana wap jmn
2024-12-29 07:08:45
1
atieno46
Atieno :
I want to pray for my daughter to get husband
2024-07-16 09:55:16
4
user41175247145844
stephen🙏 :
sasa hayo maji yanatakiwa yamwagikie wap sasa maana ni lazima yamwagike
2024-05-20 06:21:44
1
mammy.254
Mama girls :
mshuma rangi gani maana kila rangi inaishara yake
2024-05-22 09:17:48
2
madamjbusiness
madamjbusiness :
Na vip ukiwasha ubani wakat wa sala
2024-05-06 19:19:12
1
myra.love0
Roury🥰🥰 :
je ukiwa unafanya ibada ya mshumaa alafu mshuma ukaisha bila wote na past baki kitu yani akuna mabaki ata ushaidi kama kulikuwa na inama gani
2024-05-07 06:32:22
0
mariamumswaki
Mariamu Mswaki :
mshumaa wakawaida au
2024-05-06 16:16:23
1
lyimos8
Aunt faa wa Lyimo :
mshumaa rangi gani
2025-09-02 09:44:59
1
ethan.agustino
Irene Tinoshi :
nilikuuliza Padri kuhusu mshumaa alisema ni vizuri mshumaa uwe umebarikiwa
2024-05-22 07:24:00
8
esorelygolden
EsorelyGolden :
Dada kwahyo tusifumbe macho wakati tunasali au tutaonaje hayo mambo
2024-05-07 08:47:04
1
meslim82
Your slim girl 🌸💞💖💶💴💵💸 :
Ukizima
2025-07-27 00:06:03
2
matrida_85
🔥 Super woman 🔥 :
jamaniii ni KWELI MIMI niliomba nimejibiwa vema TU MUNGU ni mwema SANA 🙏🙏
2024-05-23 15:57:05
9
subiraeli
subr🇹🇿 :
nilitaka kuuliza ukizima kabisa😂
2024-07-26 17:37:58
1
zamdahtyasedy4
zamdahtyassdy :
asante dad maan nilikuwa gizani now nakufatilia sana
2024-07-31 21:44:10
1
.itsrealms4
Reymah ❤️ 🦋 :
mm mara nyingi huwa sioti lkn cku nkiota naota ndoto mbaya za kutisha naomba msaada km Kuna namna hapo
2024-08-03 05:37:12
1
omt06573333
ccc255 :
endelea kutufunza my dear
2024-05-06 17:31:24
1
user5756633874618
nayma :
yani wewe inaakiki sana,kama mungu utuangazia na juwa na mwezi,kwanini nasi tusimuangazie kwa mshumaa,eimen,,mungu kwanza,
2024-06-01 05:35:08
3
zithernyera
sweet :
chap chap
2024-05-06 15:48:07
1
user74544061763441
user74544061763441 :
hapo kwenye kushusha maji sijaelewa Sasa mshumaa ukiyayuka si unashusha majia au unatakiwa ushushe kote
2024-05-06 19:07:15
0
To see more videos from user @nuni_the_healer, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About