@kukuchoma1:

kukuchoma
kukuchoma
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 06 May 2024 14:46:37 GMT
68232
717
52
63

Music

Download

Comments

msuya222
Ibin Msuya :
bodaa boda ni boda boda tuu😂😂😂 sasa anaongea had na Mbuzi
2024-05-08 09:20:52
17
theplaylist.co
PLAYLIST22 :
Nchi ya Amani
2024-07-20 07:28:35
0
ry93697
r@y 😍😍 :
dah hawambiz sichoki kuwaangalia jmn wanajua kuvuka kwenye zebraa duh kubwa kuliko🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
2024-06-06 16:23:29
0
kipetasingo
Kipeta Singo :
mbuzi wa kenya awawezi hii kitu 😂
2024-05-24 15:06:40
5
real_gvan
. :
kimara suka hii😂😂
2024-05-13 11:05:31
3
user75012154
kingmbishi01 :
mbuzi wanajua zebra mamame😂😂 watu hao
2024-05-12 14:02:15
3
20charles2
Charles :
miti ni uhai watanzania
2024-05-31 16:05:20
1
raymond0397
Raymond Msuya :
Yan mpaka mbuzi wetu wamewazidi wakenya akili 😂😂😂 wanajua sehemu sahihi ya kuvukia
2024-05-29 08:07:36
1
tiny.the.don
Tiny the don :
🤣 kubabakee humu tu
2024-06-25 05:21:18
0
mwita348
mwita348 :
ndio kwenyewe suka mataa ya mbele
2024-05-20 19:06:45
0
user9474628710617
user9474628710617 :
😂😂
2024-06-02 12:46:28
0
twahaabdul369
Twaha Abdul :
mbuzi wa mjini wanavukia zebra ndio inavyokuaga
2024-07-07 08:20:36
0
bintbilali
bintbilali :
@mwita348 😂😂mbuz wa mamaMwita
2024-05-20 17:47:57
0
jayswaggz7
SWAGGER TUMETISHA :
mbuz know zebra
2024-05-18 17:08:37
0
user2381323942542
user2381323942542 :
mbezi
2024-05-16 18:28:36
0
top.c.mnyama.850
Top C Mnyama :
kama dar vile kalibu na stop over
2024-05-06 22:38:10
6
saed_80
Saed Ibrahim :
Hizi mbuzi pale mataa ya Suka wamezoea
2024-05-09 13:23:09
2
man_ommie
man_ommie :
kimara suka iyo kuna mahakama kuna garage kuna osama mtengeneza mashine za matofali na hao mbuzi ni wa kidunda 😁😁😁
2024-05-16 16:36:44
1
pulse_tanzania
♣ Dommie 🇹🇿 ♠ :
@BEYONZA💔💔 PRINCESS Of V🇰🇪 Hi vida imechukuliwa nyumban kbsa😂😂😂😂 Hapo ni kimara suca sehemu ninayoishi😂😂😂😂
2024-05-13 21:27:51
1
michaelsocco4
michaelsocco78 :
njiapanda ya vingunguti kwambele balakuda kwanyuma segelea
2024-05-08 22:39:37
1
gurisha25
Mr Gurisha :
Kimara Suka 😂😂😂
2024-05-08 08:16:58
1
sashy146
sashy💕 :
hao mbuzi wanatokea suka Hadi stop over 😂 wanajichunga wenyew hao nawajua hawana mchungaji na wanarudi wenyewe kwaio yani daily 😂 na wala hawaibiwii sasa jichanganyee😂😂 wanajulukana over nzimaaa😂
2024-05-18 22:59:52
0
ayubuyussuphu
user8805127968741 :
mbuzi Wana akili,sio kama uto,lini tumeckia mbuzi kagongwa,ila uto
2024-05-16 16:32:51
0
tayoboimatey
tayoboi m a t e y :
huyu nani huyu? who is this guy? why between the cross road he is passing around and talking to goats? we hate you!
2024-05-14 04:23:46
0
mwenguo
@ Mponda :
mbuz wanafuata sheria wanavuka wakiwa zebra
2024-05-14 02:14:07
0
sam_popoed
Sam_PopoED :
kimara suka
2024-05-13 17:43:12
0
evancejulius1
evancejulius1 🇹🇿 🇩🇰 :
Angalia uyo boda alivo mpuuzi yani anavunja sheria adi mbele ya camera
2024-05-13 17:08:03
0
abuuamar_009
a.b uu_009 :
😅😅hawa mbuzi au binaadam
2024-05-13 01:08:37
0
shijaumeme
@SHIJA~UMEME :
location ruguruni
2024-05-11 10:07:21
0
saed_80
Saed Ibrahim :
mbuzi wa arusha wamekutana na wadar es salaam
2024-05-09 13:23:37
0
To see more videos from user @kukuchoma1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About