@jamesmgonda: DAWA YA KANSA IMEPATIKANA N.K #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #america #fypシ゚viral #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

James Mgonda
James Mgonda
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 09 May 2024 11:53:59 GMT
326704
4992
340
8171

Music

Download

Comments

makifu.shekifu
Makifu Shekifu :
Kakangu alipata Cansa tulimpa hayo majani mpaka basi....Kifupi huu ugonjwa ni wa hatari mnoooo
2024-05-13 14:09:52
13
usercfiqmjba749455888
tosha neema🇧🇭 :
pia majani ya munjugu karanga nitiba nzuri sana niko na mgojwa hapa saudia namuhudumia ako.na saratani saa hii ashapona
2024-05-10 07:50:30
9
catherinekeruboma
metre box :
what about pressure
2024-05-09 19:02:56
5
user1020866822221
user1020866822221 :
musafeli ni nini?
2024-07-13 20:16:08
0
sabinakasanga
Ngula mbesese :
maji ukuchemsha unaweza kuyahifadhi kwa siku 7 au inakuaje
2024-05-17 08:18:19
0
trin4h12
Cutie💕💕 :
Mstafeli in Englsh pliz
2024-05-30 11:07:50
1
nurah402
nurah ❤️🇰🇪💯 :
what is mstafeli pls
2024-05-12 18:14:21
0
najma_hotmail
naa :
Habar dawa P.I.D iliyokomaaa maana nishaituma dawa mda mrefu sana
2024-05-11 03:09:19
1
_rose372
Rosemary Johson :
yaan kama hujapata utapata kansa ila ukiwa nayo unapona?
2024-05-10 14:24:28
0
mariam.athuman1
Mariam Athuman :
docta mbona umesema kutumia majani ya mstafeli kama hauna kansa utaipata hapo hatyjaelewa vizuri tueleweshe
2024-05-12 15:31:23
5
user4237306971406
last born wa saru🌹🌹🌹😘😘💪 :
n majani gani hayo?hayana jina lingine?
2024-07-08 12:21:21
1
fatumaiddi14
Cool Fetty Saloon :
kama Mtu ablidi unafanywaje?
2024-05-24 12:25:49
0
allyuk3
sada :
wewe ni kibaraka wa marekani ngoja nkunyoshee usitake kupoteza umaaa majani ya mstaferi ni dawa kamili ya kuondoa na kutibu censa ya aina zote na sio eti ukitumia utapata halaf ndo itaondoka uongoo
2024-05-13 09:24:08
0
abdibille297
Abdi Bille297 :
majani mstapel nini mjani jana
2024-05-09 19:59:47
1
tiktok.comsuleiman0
Suleiman :
Kama hujaipata ukitumia majani utaipata? Aaah hapa umechanganya madawa kiongozi. mm najua majani yake ni dawa ya maradhi mengi tu
2024-05-09 20:29:57
0
mariammohammed1394
mariammohammed1394 :
majan mabichi au makavu?
2024-05-09 19:16:45
0
asiaelastor
Jennasia⚘ :
mizizi ya mnyonyo kuipata sasa
2024-05-17 09:03:35
1
fatma.badi73
Fatma badi :
nyonyo ni mti gani?
2024-08-05 14:36:10
0
user1260616937478
polly :
doctor mimi sijui mlangamia nini??
2024-05-10 07:20:22
2
simonnbx3tc
simon :
tuma picha ya huo mti tuone
2024-05-15 10:45:19
1
robynrobyn49
Robyn the greatest :
tuoneshe mti wa mlangamia
2024-05-17 06:36:56
0
linamjema1
Linah Mjema :
mstafell nauamini sana asikwambie mtu!!! kuna siri kubwa snaa kwenye huo Mmea
2024-05-18 17:33:33
0
user7119931700602
hildat :
sijaelewa ukiwahujaipata kensa ukitumia mstafel unaipata
2024-05-11 21:18:51
0
mudy774
hmudy :
hii ni kweli kabisa usipuuze,mwenzangu alikuwa na kama uvimbe kwenye matiti but yameondoka yote, ila uwe mvumilivu usichoke kunywa sio dawa ya siku 1
2024-05-14 09:40:37
2
stellambaruku989
Toni Billions🇹🇿🇨🇦 :
Sijaelewa Yani kama huna kansa ukanywa Maji ya mstafeli wapata na kama unayo yatoweka lakin kama unahormon imbalance inatibu sasa siitatibu horm in imbalance na kansa itaingia tueleweshe kwakwel.
2024-05-15 12:05:31
0
To see more videos from user @jamesmgonda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About