bro mhifadhi mke wako Allah akuhifadhi.Mwanamke wa kiislamu ni stara tusiwe madayath . Allah atuhifadhi sote
2024-05-10 14:16:28
198
Dr. Zac🧑⚕️ :
Mrs Supa huna muda mrefu utatembea Bichwa wazi😏😏😅
2024-05-10 13:58:35
81
Saadillah_01 :
kavaaa puru la mkewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2024-05-10 14:00:30
54
sachu jr :
Hi kumbe ndivo alivo shemeji but her look beautiful
2024-05-11 08:12:14
38
pound_tz :
Kumbe kishundu kipo unamvalisha majuba tu kila siku😄😄😄
2024-05-10 14:06:42
38
zay collection :
mashekhe typing............
2024-05-11 11:27:29
12
Hass-q Rashid :
mkeo kumbe ana mipaja ivyo mashallah....nilijuw kimbau mbau....unajua nn mzee?....#mstiri mkeo acha sifa za kijinga
2024-05-10 20:22:10
38
Krilice :
Duh. Mungu atupe waume ambao watakua sababu ya sisi kuingia peponi. Amin. Hii sasa ni shida, alikua binti anajistiri vizuri saivi utasema sio mzanzibari baada ya ndoa. Mtihani
2024-05-10 15:28:26
77
Ms T :
ma single tuishiye kumeza mate
2024-05-10 13:55:26
11
Daa Amina ❤️ :
kubebwa abebwe mwingine wivu nione mimi ukiwa una mahusiano mmomonyoko bwana Ewe mara tujalie wanawake wote sio na mahusiona mazur tupate wanao tupenda
2024-05-12 15:05:05
2
k.b :
kajazia jazia 😁masha Allah..shira ya kizanzibari
2024-05-12 09:06:46
1
SIAFU :
Mungu atupe mwisho mwema
2024-05-10 20:34:36
5
ablamuu :
nyie wenywe mtakufa kumbukeni haya mambo yatabaki mtandaon
2024-05-10 19:11:06
2
ciokwaubaya :
sema nyie wan ndoa haya mamb ya kuvaa nguo zinazoonyesha maumbile kwamb jamii munaionyesha nn jamni mbn video zenu za kuwaelimisha watu nzuri n zinapendwa mkifa ss iz video na miziki nano atazfut
2024-05-13 09:44:29
1
Msawira Nassor Msawira :
ameamua kutuonesha jeje la mkewake ndo ameva yy kesho vaah chupi nayo pia tuone
2024-05-12 17:45:27
1
Palestine :
mkeo hodari ila utamkosa karibuni...
Acha kuiga maisha kizuri hutunzwa...
2024-05-11 10:17:22
2
Biubwa Muhammed :
Ujinga tu kisa kujulikana ovyo mlianza vizuri saivi mnamuwasi Allah mnamfurahisha sheytwani
2024-06-14 16:41:18
1
mmwalembe :
ila hyu dada mzuri ana kaahepu flan sana ♥️♥️♥️
2024-05-10 20:41:57
2
Neylicious ❤️🥰 :
Naangalia hiyo bwaga alovaa mkaka😀😀😀
2024-05-11 07:07:41
1
Farley🕊 :
Mbn km mshaanza kuharibika
2026-03-11 01:32:40
0
bihasnarashidi :
kumbe ana shepu
2024-05-28 21:36:28
0
user114186456533 :
mume hajui kuvaa kwakwel
2024-05-25 12:24:32
0
muddy zakuwani :
mashaallaha mume fanana allaha awatunzie ndoa yenu na awape maisha marefu yenye manufaa kweli nyinyi sasa ni tegemeo kwa nchi yetu zanzibar.muddy zakuwan
2024-05-25 04:59:21
0
Miss_Anjoury_22 :
nd ukaon uvae jeje la mkeoo😳😳
2024-05-24 20:05:07
0
Nabel El-farsey :
🥰🥰 fav couple
2024-05-11 16:10:42
0
To see more videos from user @as_supa, please go to the Tikwm
homepage.