@deosukambi: 💡MTOTO ANATAKIWA KUISHI BILA MZAZI 📍Ni ukweli mchungu ambao wazazi wengi wasingependa kuusikia, Mtoto wako anatakiwa kuwa na uwezo wa kuishi bila wewe (mzazi) mapema sana kabla haujazeeka. 📍USIKOSE DARASA LIJALO LA MALEZI (DARASA LA MALEZI EP 02) 📍Endelea kufuatilia kujifunza zaidi #DeoSukambi #DarasaLaMalezi #Malezi #Watoto #Wazazi #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok #UsichokijuaKuhusuMalezi

Deo Sukambi
Deo Sukambi
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 May 2024 14:56:59 GMT
77472
2630
48
645

Music

Download

Comments

zanzibarcookingclass
zanzibar traditional cooking :
respect 🤗
2024-06-21 16:34:28
0
user3862203386990
Roseritta :
yeees✌️
2024-05-25 05:27:36
0
elshadai893
elshadai :
Sio tu kuzeeka kuna kufa pia😎
2024-05-15 17:32:41
8
g7kidsfootballclub
G7 :
Wachaga ndio wanaweza sana hiyo
2024-06-12 09:44:27
5
user2610416585847
chiza george :
em eleweni, haijalishi upo nae au yuko mbali muhimu awe na akili ya kujitegemea
2024-05-23 14:11:19
6
gracesekwa
King-Issa :
mapema sana hiyo kwio wakamlawiti huko
2024-05-22 18:21:05
1
mamyabdull
user1108393677109 Mamy :
Sio rahisi kukaa mbali namtoto especially dunia yetu hii yasaivi ikitokea imetokea tu lkn it’s not easy
2024-05-27 02:46:41
0
lightlioga43
lightlioga43 :
labd above 18 nitakubali lkn chini ya hapo hapanaaaa dunia hiii mbovu
2024-05-23 07:22:59
0
ninalewismugesi
ninalewismugesi :
Kabis 🥺🥺🥺
2024-05-16 07:34:47
2
renalda.sally
Renalda Sally :
🙏asantee kwa kutukumbusha
2024-06-08 15:07:55
1
animufondo
chimami_07 :
kweli
2024-08-10 13:44:27
0
ciaramohd
user4910835857967 :
mm Sasa namkimbia baba yao naenda kulala nao nahisi wataibuwa 😁
2024-07-10 20:06:10
0
90mngaroismail
mngaro90 :
kweli
2024-07-01 23:42:03
0
gracesekwa
King-Issa :
mmh haipo hiyo akikua ataolewa au kuoa anakuwa na kwake na akikua atakuwa anaelewa kuwa ipo cku hataishi na mzazi
2024-05-22 18:20:32
0
user8531467791071
grace mpareeeee :
kwel kbs nakuunga mkono maana watu wanafkr siimpendi kumbe namfundisha
2024-05-16 20:29:48
5
zuk05ct
femalegymtrainer💙❣️ :
weee akibakwa☺️
2024-05-16 14:16:57
2
sonsyoungmama
adelove :
ni kwelii
2024-05-16 04:39:44
1
rebecamartine6
rebecamartine476 :
fact
2024-07-09 08:04:19
0
zahra_mapishi
@Zahra mapishi :
mtoto aliokuwa hana baba je uishi nae vp
2024-07-04 08:55:03
0
manyama354
Manyama peter :
wewe uliishi hayo maisha unayo tufundisha.
2024-06-19 09:23:21
0
hermanmkobalo
hezronherman :
ila hapa nilicho gundua watu wengi hawajaelewa maada, jaman eleweni maaada ndipo mbishe, amesema mfunze mtoto kuishi bil mzazi, nasio mbali na ww.
2024-06-16 14:37:46
0
johelectromechanicstz
Joh Electromechanics Engineer :
we IQ yako ndogo sana
2024-06-16 14:16:40
0
sideman977
sideman977 :
kbsa
2024-06-16 06:17:04
0
user2610416585847
chiza george :
kabisa
2024-05-23 14:09:29
0
marykumalija
marykumalija :
Aende wapi?
2024-05-23 13:59:35
0
user84878651
Apolady :
Kwakweliiii
2024-05-22 13:17:02
0
salhacharles662
Sarah's home afare :
kweli kabisa
2024-05-18 18:24:26
0
florahjacksonmune
Florah jackson Munene :
oooh yea
2024-05-18 14:53:05
0
01precious8
01precious8 :
The painful truth.
2024-05-18 09:34:23
0
miselya_benjamin
Benjamin Miselya :
🙏🙏
2024-05-17 17:02:20
0
catherinechales1
catherinechales :
nipo mzazi commando
2024-05-17 13:54:51
0
baraka_udindigwa
BARAKA UDINDIGWA ELECTRONICS :
%100
2024-05-17 13:41:26
0
ebbigael24
ebby :
ni kwel
2024-05-16 13:52:36
0
To see more videos from user @deosukambi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About