😩😩ukiachilia mbali mashindano wanao nizidi pesa na mwonekano silazima nikutajie mifano ni ahidi kama utayaweza mapambano is the painest lyrical 😭
2024-11-26 01:47:21
6
Benjamin njau :
haka kangoma huwa kananikumbusha nyakati ngumu nazozipitia katika maisha kupenda nisipopendwa
2024-06-26 17:57:10
2
24..Jr :
ila harmonize 🙌😂
2024-05-20 13:50:50
20
Mgenge :
my favourite
2024-11-27 05:25:43
1
feyruz mendozah❤ :
Harmonize❤❤❤❤🥰🥰
2024-05-20 18:39:06
3
Julio :
naaam
2024-05-18 08:17:52
2
SADAT_ABDUL :
Natafute mwanamke mwenye wivu kupitiliza asietaka nitoke ndani kwenda kufanya kazi,tukae wote ndani muda wote mpaka tufe na njaa Ili iwe fundisho kwa wengine😏😏😏
2024-08-04 19:14:52
5
Euro boy 🇹🇿🪢 :
ila mboneke 😂🙌
2024-05-23 07:35:29
3
gyslaineimanigaba :
icho kipande nikikisikia tu kuna mtu uwa namkumbuka kinanikumbusha mbali kihukweri 🥰🥰🥰
2024-06-02 14:34:18
11
Tekitonic🐦🔥 :
kipawa
2024-06-30 16:25:06
1
Kevin's Oliver :
wenye mipunga ndo nani
2025-08-28 20:51:47
3
Aron paul :
🥰kweny hii nyimbo nimependa sana koras ya harmonize kaimba kwa hisia sana 🥰🥰🥰🥰kubali sana konde gang
2026-03-12 18:56:09
2
KANALLI :
Aissee
2024-05-18 19:04:34
2
Vera Keshy :
awueeeeh🥰
2024-06-09 15:18:39
1
user4381842986131 :
Share lyrics to full song
2024-05-21 16:43:24
0
user4381842986131 :
🥰🥰My best Bongo hit
2024-05-21 16:42:01
1
Sane Umande :
Ngoma kal san
2024-07-30 06:11:48
0
Maginya Matayo :
ccm oyeeeeee
2024-08-13 18:41:48
0
kelvini shirima 26 :
og
2024-05-31 19:55:20
0
To see more videos from user @moniquelyrics99, please go to the Tikwm
homepage.