@wasafi_media: HATUTAKI USHOGA TANZANIA, KAMA NI MISAADA SITISHENI - WAITARA Mbunge Wa Jimbo La Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara leo Mei 17, 2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kuchangia hoja kwenye bajeti ya makadirio ya mapato na2 matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ambapo Katika Mchango wake Mhe. Mwita Waitara amegusia suala la ushoga ambapo amehoji kwa nini Waziri Dkt. Doroth Gwajima katika Hotuba yake wakati anawasilisha bajeti hajazungumzia suala hilo. Mhe. Waitara amesema suala hilo sasa ni changamoto na yeye yupo tayari kumshughulikia mtu yoyote ambaye anafanya vitendo vya ulawiti. "Hatutaki Ushoga Tanzania, Wazungu waelewe kama ni misaada wanaleta wakome waache kabisa, Tusichekeane kama ni misaada Kateni, Hii ni vita kama ilivyokuwa vita ya ukombozi wa bara la Afrika" - Mbunge Waitara ✍️: @Baraka Don #WasafiDigital

Wasafi Media
Wasafi Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 May 2024 19:08:26 GMT
1093132
62481
4205
5931

Music

Download

Comments

zainabuibrahim00
bray :
team magufuli hoyeeeeeeee
2024-05-22 12:36:12
618
calvintz7
Therealkevootz7🇹🇿 :
kisura wa Mbeya is typing,,,,,,,,,,
2024-05-18 03:12:39
357
kipoyakiller
Kipoya Killar Edu :
Rest Peace Team Magufuri 😭
2024-05-18 17:44:46
496
winifrida_99
BINTI SAYUNI ❤️❣️ :
huyu ni wawapi tumpe mikoa yoteee😭👏👏👏👏👏
2024-05-19 13:46:30
225
stellayusuph406
stellayusuph :
tunajivunia mbunge wetu tarimeee 😇😇😇
2024-05-18 13:35:21
258
mykt87
MYKThe Legend :
Bravo... We need this kind of leaders
2024-05-20 08:49:37
257
kabongo70
Nicholas Kabongo :
Watokee wabunge kama hawa 20 tz mbona fresh huo ushoga utakwisha lk. Huyu mmoja anapaza sauti wakuu wanamzoom kama lenzi mbinuko😂
2024-05-18 08:48:27
145
estyleshoes
E STYLE SHOES 👠👟 :
Naomba serikali ifungue jela ya kuwafunga mashoga🥺
2024-05-18 10:43:41
120
dimpopo25
malone_harrix :
Yani mm niolewe😂😂 Daah big point mzee
2024-06-24 19:51:59
74
meshacknonga560
Meshack Nonga :
MAGUFULI IS BETTER THAN SAMIA
2024-06-20 18:13:08
32
manchulia3
manchulia🦋🍀❤️ :
Anaongea kwa uchungu mpaka nimetamani ningekua karibu nimpe maji apoze koo . Point kabisa
2024-05-17 21:41:06
200
user1417069167269
triza :
huyu ndo mbunge sasa
2024-05-18 07:52:03
113
dickmarley2
MARLEY DICKY🤩❣️🤔 :
Another good voice from Tanzania 🇹🇿
2024-05-24 06:40:54
119
user7015290458458
naa :
asee mungu nimwema sn angalau ame tokea ata waku toa sauti, ukombozi utakuja tu kwajina la mungu wetu mwema
2024-05-18 08:32:15
69
skmontana_24
sk :
bonge la point 👏👏 Mungu Amtunze huyu baba
2024-05-18 11:05:54
69
dukaonlinetz
Duka online Tz🇹🇿 :
Baba sisi kama watanzania tunakupa ubunge mikoa yote au mnasemaje wananchi wenzangu
2024-07-11 07:27:35
8
neema.machua
Ney machua :
Aise Wewe mbunge mungu akutangulie umeongea Kwa hisia Sana Mungu ainue wabunge Kumi kama Wewe tutafika mbali Sana
2024-06-21 07:39:43
6
roseinterprise
Rose enterprise :
kunywa maji nakuja kukulipia
2024-06-08 12:22:32
5
dully_msafi
Rise mentality 💫 :
yani ameongea ukwer wew ndo mbunge wa maana
2024-06-23 08:42:10
5
trytodo2026
TRY TO DO :
HATUTAKI USHOGA TANZANIA🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2024-06-17 14:39:55
5
user702181208174
Ruth reony :
umeongea sana mzee upatiwe ulinzi mkubwa sanaa mungu akutie nguvu utetee nchi yetu 🙏🙏
2024-06-15 11:18:10
13
realtebethy.og
real_moon🌚🫶🥷 :
kabisa Yan hatutaki ushoga
2024-05-17 19:20:32
56
halimadauda67
Mima💜💜 :
Giant wa kikulya typing 🤣🤣🤣🤣
2024-05-18 08:18:52
211
user6146651446216
user6146651446216 :
ajengewe sanamu lake wapi apa Tanzania
2024-05-18 14:18:00
28
williejonespreachermusic
Willie Jones Preacher Music :
I stand with you from Kenya. 🇰🇪
2024-05-22 09:24:25
62
To see more videos from user @wasafi_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About