@hildakidoty: Ni vitu gani unatakiwa kuviepuka kama tayari una Vidonda vya tumbo Acha baadhi ya matumizi ya vifuatavyo Maziwa Fresh Pombe Unywaji wa Kahawa Vyakula vyenye mafuta Mengi Vyakula vyenye viungo vingi Vyakula vyenye chumvi nyingi Vyakula vya Kuoka Vyakula Venye Uchachu #health #afya #who #vidondavyatumbo #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokenya #hildakidoty