@amourvin_: POV:You just finished bathing, but now your skin is super itchy! 😫🛁 @Palmer’s #Relatable #ItchySkin #BathTimeStruggles #UGCCreator #Tanzania
Kha... mic iko wapi sauti mbovu? umeagiza kila kitu umesahau mic?😁
2024-05-19 11:27:30
1
cheketuabei_ :
@JulianneCreates dada samahani ni out of Topic 😂🙌🏾 ila naomba tuanze diet na mazoez
2024-05-19 19:26:24
1
mamu mkwama :
muulize aunt mwasha maana nae alikuwa naro
2024-05-20 11:06:12
1
bright💞🦋 :
Nilikua pia nna hiyo halii nikaenda ad hosp nikashauriwa kuwa mwili wangu hauna joto la kutosha so nikioga maji baridi nakua nawashwa ivyo lkn maji moto siwashwi jaribu maj moto au tumia oil so lotion
2024-05-20 20:13:23
1
Zahra Said :
ngozi yko ni kavu jrb kua unatumia shower gel na sabuni zinazohifadhi mafuta .... km mm hua natumia sabuni na shower gel ya dove ile ya Shea butter
2024-05-19 14:54:08
0
Mul baby🦋 :
Niligundua nikioga ama nikigusa maji ya baridi kwenye ngozi nawashwa na nilipogundua nikawa naoga maji moto
2024-05-20 14:17:06
0
Fafa_HennaTZ🇹🇿 :
😂😂😂 Vinasabaaa hivyoo😂
2024-05-21 18:53:31
0
To see more videos from user @amourvin_, please go to the Tikwm
homepage.