takwimu zangu 2026 namba moja ni dar na 2 dar 3 dar 4 dar tano dodoma 6 mwanza 7 chuga weng mtabisha lakin kaman takwim zetu tunaangalia uzur wa majengo dodoma inafata ukitoa dsm mwanza inafata na chuga lakn ukianza kuangalia ukibwa wa mji dar 1 mwanza 2 tat chuga 4 dodoma lakn nawakumbusha mjue.ukiunganisha dodoma mwanZa arusha mbeya singida tanga labda ukaongezea na shinyanga hizo.zote.ni dar momoja kama unabisha njoo.dar uone mwenyewe mbagala tu au masaki au kinondon au kighambon au ata kinyelez sijuh ata niwambieje ili muelewe yan ni ivi masak nikama mkoa mbangala nikama mkoa kinondon nikama mkoa gongolamboto nikama mkoa kinyelez tu utazan ni mkoa labda wa kagera yan hapo atujaenda posta kaliakoo hiyo tumeiacha manzese au .ubungo kwanza tisiende mbali mbezi tu unachoka hapo kuna bunju. kuna chanika ahaa mi🤣🤣 mnachosha nyie et mwanza mwanz arusha arusha mara dodoma njoo dar ndio ujue ikije ukiwa posta ukaulizwa buza niwapi ueleh kipande gan oy njoo nahapo waliitenganisha dar na pwan.kama yote ingekuwa kitu kimoja ndo tungesema mikoa yote unaipata ndan ya mkoa mmoja😅😅😅😅😅 😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-16 20:44:03
0
Shadrack Joel :
chuga kama mbelee
2025-09-26 15:02:32
1
.H.A.Y. :
❤
2025-05-21 12:40:27
1
LamiahTZ@ :
🥰
2025-04-25 11:09:09
1
ALPHAFITNESS :
💯
2025-02-24 14:38:54
0
Abednegojonathan Sikawa :
🥰
2025-05-11 21:34:03
0
Juma Ntebayenge :
😅😂
2025-05-14 18:43:16
0
Abednegojonathan Sikawa :
🥰
2025-11-26 21:02:54
0
Henzo🎶 :
nice looking city
2025-07-26 14:34:15
2
🎬 :
hot sequence bro....i appreciate
2024-12-10 21:52:02
1
rebbynassary :
🥰🥰🥰
2024-12-24 08:30:19
1
Mr Elton 🇹🇿🇰🇪 :
🥰🥰🥰
2024-12-29 17:00:23
0
Ummu Aisha :
🤣
2025-02-14 11:15:01
0
To see more videos from user @mor_adventure, please go to the Tikwm
homepage.