@tufaylah_muhd: rudi kwa Allah dr sule #tiktoktanzania #tiktokkenya #tiktokzanzibar #foryoupage #foryou

tufaylah muhd
tufaylah muhd
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 May 2024 11:32:46 GMT
819984
33872
1020
2653

Music

Download

Comments

john_avicii255
John Avicii :
i don't use the language but huyu jamaa ni mganga
2024-05-20 18:02:33
124
user22654920015937
الحبيب سيف محمد البوجيري :
Dr sule is right
2024-05-21 08:14:36
47
adiakassimu
Old🌚🌝Soul :
mbona Suleiman alitumia majini kwa kazi mbali mbali hadi kujenga msikiti inakua je Dr Sule anakosea kusama hivyo ???
2024-05-24 07:30:14
18
akashmrisho
سيبويه مريشو سيبو 🥰فقير الله :
nili sema sule ni mshirikina na nita sema kwa garama yoyote mpaka nitakapo kufa labda ajirekebishe
2024-05-20 17:39:13
138
nyamulo4
DOCTOR NYAMULO :
sasa mkristo akiskia maneno ya sule atabaki akiamini kwamba dini ya kislamu niya majini🥺hakuna vile utamwaminisha mkristo hatuabudu majini na ameskia sule akisema
2024-05-20 16:57:54
39
kabaka.m7
Kabaka m :
that's why am non religious
2024-05-24 14:22:26
8
hish018
Hish :
nabi suleiman alikua baba wa majini. na kua na jini sio dhambi ili kutumia majini utumie vizuri .sio kila mtu ana haki ya kutumia majini
2024-08-09 20:56:38
5
putinn_inertia
Putinn Inertiav :
sule ni Daktari wa Dini yaani kaisoma dini mpaka kaitwa Dokta
2024-05-20 13:47:00
9
maraga.cj7
Kerim shar :
amewekà giza kwa mwanga, rudini kwa Yesu
2024-08-01 06:13:42
2
myna77776
Mafly :
Anayegawa rizk ni Allah . huko kwenye majin.audhubillah .mina sheitwan.
2024-05-20 16:46:49
62
alibesteast
Ali Best :
Tunaelezwa ushahidi kwa nabi suleyman
2024-11-05 19:46:35
1
mohamedy178
mohamedy rashidy :
izinizama ambazo mtume aliway kusema itafka kipindi mashekhe watatoka kwenye dini kama mshale unavyotoka kwenye upinde
2024-05-20 15:54:56
10
user752654651058
Inspector muba :
swahihi mwalimu, waisilamu twatembelea ktk njia ya qalla llau qaala rasuulu qaal swahaba
2024-05-20 14:24:11
13
user7127040460530
1+1=2 :
kweli SHEKH HAPO KAPOTOKA
2024-08-13 15:57:31
5
user2437220285855
Becker :
Ukiona shehe anajisfia kwa utajiri wa majunba na magari jua ni shehe wa mchongo anayezuzuka na dunia
2024-05-21 05:07:49
5
sangeedeking
San gee de King. :
mueleze hii ni dini yenu warabu sule atulie askize mawaidha yako
2024-08-17 17:18:04
3
user8742716305220
Allahu Akbaru :
dr sule, ayupo sahh aseeh.... duh
2024-07-16 18:21:25
5
mr.junior015
miss Amayra :
hivi kwanin mnapotoka hivyo? angekua na roho mtakatifu ndani yake asingeyasema hayo
2024-08-17 14:41:15
0
shamy2619
Mrs_R❤️🦋 :
naamn uyo shehe ni shirk anayosema
2024-08-17 12:19:41
4
abbaschea1
Abbas Bin Khalifa :
Someni dini musijiseme seme tu, munao mpinga shule hamna elimu ya viumbe ndio maana mukimskia mwachanganyikia someni majini yako kwenye Quran
2024-07-20 10:37:19
0
mnyalukolomahenge
mwakivosu :
😂😂😂 ushetani mtupu njia ya kweli ni yesu mtaabudu majini mpaka lin
2024-07-30 05:05:59
0
2adamson_george4
Adamson George. :
Shida hapa n kwamba hii n siri ya Waislamu hivyo katoa siri kama huyo mwingine anavyodai hapo chini
2024-05-27 16:22:56
1
marcussson_11
Marcus🦁 :
majini wachafu 😂😂😂 hahahahah majini ni majini tuu ni angels wa 😈 shetani
2024-07-17 18:58:58
3
aisharashid015
Aisharashid :
jmn bora docta sule anawaomba mali wanampa sisi wanatuingilia uck kutubaka 😂😂😂😂 majini washenzi
2025-08-01 07:34:19
1
To see more videos from user @tufaylah_muhd, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About