@dr_ibrachenza: Ushauri wa kifedha chukua kwa watu waliofanikiwa kifedha

Dr Ibrahim Chenza(PhD)
Dr Ibrahim Chenza(PhD)
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 May 2024 09:13:32 GMT
21160
1212
85
72

Music

Download

Comments

goodluckabdon
Goodluck Abdon :
utajiri sio ela pekee utajiri ni mindset na si kila aliefeli hawezi kukushauri ndio mana kuna muda tukosa kupata uhalisia coz tunadharau sauti dhaifu
2024-05-22 17:08:18
7
abuu_taymour
kimosa :
mzee akifeli bado anaweza kukushauri njia ipi upite ili usifeli kama ilivyo feli yeye...
2024-05-22 18:47:32
7
joven2585
Best :
Kuwa na mentor aliyefanikiwa ni muhimu. Kwa mfano, mimi Mkristo mentor wangu ni Kristo, skills anazotupatia ziko ndani ya biblia na zinatumika katika maisha yetu kila siku. Ushauri wako Una mantiki
2024-06-09 02:30:54
3
mapunda_mshauri
DR MAPUNDA :
kweli mentor umeongea kitu🤣
2024-06-15 17:36:22
2
damianandrew
damianandrew :
fact
2024-05-24 14:58:23
1
eligant30
Elegantcloset TZ :
wababa wengine mapoyoyo
2026-02-27 13:50:53
1
prashienterprises
Thadey Shirima :
tusijeambiwa tumefel
2024-06-09 07:51:06
1
eaglenaty_1
[email protected] :
Mim naomba nikuulize wew umefankiwa vp ?
2024-06-02 08:13:26
1
jasperjasson
Sir J J the Don :
Asante bro nakubaliii
2024-11-18 12:44:43
1
christophersamwe4
Christopher Samwel :
acha uongo inapetegemea huyo baba ako labda awe chizi baba mzazi anaweza kukushauri vzr kwa yale makosa aliyofanya ili wewe usitafanye ukawa km yeye
2024-07-12 04:29:57
1
edwinmeenda
Edwin :
true
2024-05-25 04:50:37
1
matokeomatokeo
Matokeo Matokeo :
Ibra, kwa hapa Bongo wengi waliofanikiwa sio wakweli na ukiona anakuambia fanya vile mara nyingi anataka kukupiga
2024-08-17 08:55:52
1
shadrackjob516
shadrack sanga.✅ :
fact sana Dr
2024-08-13 11:05:56
1
amocee
amoce :
fact
2024-05-23 07:03:35
1
stanslauskaroli
stan karoli :
Bro ww n tajir bhn
2024-05-23 20:20:35
1
husseinkyakalaba
husseinkyakalaba :
Hapo kwenye AI ndio dunia ilipo
2024-06-21 17:58:28
1
prashienterprises
Thadey Shirima :
vijana tutafute asee,
2024-06-09 07:50:46
1
prashienterprises
Thadey Shirima :
facts brodher. taaluma zinakuwa updated kila leo.
2024-06-09 07:52:19
1
fundiahmed
Fundi Ahmed. :
sio sahihi ndugu, sio wazazi hata marafiki waliofeli wanaweza kuwa walimu wazuri zaidi kwetu... kwa mlango mmoja tu "wakiamua kuwa wazi kipi kiliwafelisha", ndo ukazaliwa msemo "learn from mistakes"
2024-05-23 10:25:02
1
hassanmugire
OTSeI tutu :
kumbe hili jamaa tablalaza kabsa
2024-05-25 12:46:55
1
blucxanny
Bluc Xanny :
hahaha true🤣
2024-06-09 06:34:53
1
smartdriver97
@SmartDriver_VVIP 🧠🙂‍↕️🚍🛣️ :
😞kaka.umetisha.
2024-07-25 18:51:06
1
magombes.son
magombes son :
wewe ni modo wangu MUNGU akupe maisha marefu mwamba kuna mambo nimeyafuata na nimefanikiwa kutoka kwako
2024-08-01 07:03:23
1
coach.samwel
Coach Samuel :
Ni kwelì kabisa mentor .. Si kila mtu anafaa kuwa mshauri wa mambo ya pesa hata wale baba zetu wa kiroho. . kuna wakati mtu anahitaji kuelekezwa strategies fulan tu ila aambiwa kuna pepo 😂
2024-05-22 10:08:56
1
officialmosiaccount
muharibifu :
that's true mimi nimefeli baada yakumaikiliza mzee ila najifunza kitu hapa wazazi sometimes ndio chanzo
2024-05-23 17:56:56
1
To see more videos from user @dr_ibrachenza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About