eh mungu tuongozee wa too wetu hawo wanao kupa sport ujuwe kabirini hutokuwa nao utaingizwa peke tubu kwa allah mtto wakiislam subhana llah
2024-05-24 19:58:37
63
M :
Io nguo yataka mtu mwenye shepu imekupwaya
2024-05-25 09:32:14
17
Hilwa Halawa❤️ :
Nguo na shape jamani lazima uangalie body yako yaendana na nguo design gani sio kujivalia kama mwenye wazimu💔
2024-05-25 11:57:26
9
Afrolanka :
lovely wallah 😍😍😍
2024-07-03 17:20:13
2
🐍 🐍 Sσмαנєѕтє🐎💫 :
Ni nani huyu 🥰🥰🥰
2024-05-25 17:09:04
0
Hydar Suleiman :
🌹 Mashallah pretty lady Njaa lazima ipotee haki😘
2024-07-02 10:27:05
1
Motherlucks 1233 :
Aa sista hakuna mkamilifu ofcoz ila umeji expose kwa ummati wa watu kila atakaekuona ukamvutia wapata dhambi hao wanaokusifu kesho hawatakua na ww,,,Allah atuongoze siz kwa wote
2024-06-28 15:04:33
3
leila :
MashaAllah gorgeous habibty 🔥🥰
2024-05-25 09:06:58
0
👑HURREIM👑SULTANA👑 :
Masha'allah masha'allah Habipty Allah akulinde na kusda 🤲
2024-05-24 20:14:13
1
bubaicollections :
Binadam Nyie yani kanunua nguo ma elifu kisha muje mumpangie Si Mnunue Nyie wenye shape ka raihisi upuzi tuh
2024-05-25 12:25:32
2
❤️🌼🥰 :
ngp hiyo nguo
2024-05-30 09:11:42
2
Yes its me🙄 :
you weren't invited to diani 😁 Madam
2024-06-19 10:35:30
0
Glam by miski :
pretty 😍
2024-07-10 18:40:02
0
makabati :
yuapi nahodha
2024-06-30 05:10:42
0
user812537913399 :
Naja kushika mimi Sikani ili chombo kisizame
2024-06-18 09:56:50
0
Masti_lad :
Nani kama khadz? 😍😘😍🤗🤗🤗❤️❤️❤️
2024-06-10 03:56:29
0
salmahassan4001 :
tusisahau tunapoenda hatuna wakutusaidia ila ni mambo yetu mema kwahivo chance bado tunayo kurudi kuomba msamaha dadangu
2024-07-04 13:31:50
0
Abdallah Kassim :
mambo vipi
2024-06-19 13:46:06
0
ᯓᥫ𝖄𝖊𝖟𝖟𝖆☙🖤⃝𝖒𝖆𝖓ꫂ❁ :
mashallah 🔥😍
2024-05-29 10:40:42
0
Lorrey Peter's :
Mashallah habibty❤️
2024-05-28 13:36:10
0
BHOJA Baijan :
Ma shaa Allah Umpendeza Dadangu
2024-08-02 07:21:25
0
Akanyomoro🌸📌 :
your looking smart
2024-08-09 06:19:42
0
STAR :
mashaallah
2024-06-03 07:10:57
0
Thompson Fledder :
si ni ghost huyu🤣
2024-05-29 10:35:05
0
Alameen001 :
Mashallah 🤩
2024-05-26 08:50:12
0
To see more videos from user @khadija_al_hatimy, please go to the Tikwm
homepage.