sina dharau da Rahma lakin nashangaa kila nkiongea mume wangu anasema nadharau wakati sipo ivo nashangaa,kwa sababu kuna muda nasukumwa nijibu na kuna muda nasukumwa nikae kimya nisijibu chochote,na nkilazimisha nimjibu tunagombana Sana sanaaaa yaani hakuna maelewano na atafukua hadi makaburi ili kunikwaza na akinikwaza tu yeye anakua na amani ..sasa simwelewagi kwanin anapenda kunifanya nisiwe na amani ni furaha yake dada
2024-06-17 21:12:15
7
Baby girl 🍎🍇🍓 :
Mungu akupe umri mlefu sana dada hakika umekuwa baraka kuna vitu unaongea adi mwili unasisimka una zawadi yako ipo cku itakufikia dear nakupend😘
2024-05-25 17:56:02
2
leila nana :
ni kweli dd sahihi ni mm kabisa
2025-10-14 17:02:31
1
user8591081629401 Susanneh :
Ukweli kbisa be blessed thanks
2024-06-25 09:12:19
2
ley🌹❤️ :
sasa dada rahm kuamka kiroho kunahusian na din mbn wengine wanasema kuamka kiroho ni vbya kidini inahusian vp samahan naomba kujuaa😳
2024-05-27 10:35:08
2
Queen Kimbe :
nina kupenda bule mwaya Dada Rahma huna baya MUNGU akuweke kuna mambo yana badolika toka ile siku nili amuwa kkfatilia 🥰
2024-05-26 12:29:49
2
hadijakibwana507 :
shukran sana nakupenda pia na napenda sana kukusikiliza na kujifunza meng allah akupe umri mrefu inshaallah🥰
2024-05-25 13:29:42
1
Aisha.luxe05 :
kiukweli nilichelewa kuona hizi nyie sasaivi sina Muda na mtu jamani yani Tiktok imeniinua pakubwa kiukweli nakupenda Rahma 🥰😍
2024-07-27 18:00:57
2
Pendo 🥰🥰 :
Yani leo nimekuota jamani 🥰
2024-05-26 08:51:56
2
merystela97 :
natamani ingeendelea niendelee kusikia Tena na Tena nakupenda sana❤️❤️❤️
2024-05-25 16:02:40
1
reneo :
nakupenda bure bila makato ya aina yoyote 🙏
2024-05-26 07:02:49
1
deodatha22 :
kweli kabisa dada Rahma Mungu akubariki
2024-05-25 13:35:59
1
Solo :
Kweli kabisa, Shukran sana.
2024-08-21 16:31:55
0
yusuphabdala666 :
umeongea point sana
2024-08-21 18:09:44
0
Im ELIYON IM ELIYON :
Amen
2024-05-27 01:13:56
0
patjoe :
jee kutumia dawa za asili ambazo zinakuitaji utumie mafuta au damu ya mnyama kwa ajili ya kujitibia ni ushirikina?
2024-08-08 02:47:04
0
🔮🪬mamuu-nash.8.8.8 :
very true
2024-07-28 06:38:35
0
khalefatma_ :
Hii ndio Ile unamshangaa Kuna vitu unavijua na hakuna mtu amekwambia, you just know... Huwezi kupendwa na watu wengi ukiwa hivi.😂😂
2024-09-03 14:32:35
0
binfuom :
Ahsante mwalimu Wangu
2024-08-22 05:42:26
0
Admin#005 :
swadaqta🥰
2024-08-05 06:51:59
0
Maggie :
🥰 najifunza na ninakuelewa sana kpnz
2024-08-01 11:58:42
0
user68658625908681 :
Ubarikiwe saana my d umenibariki asubuhi ya leo
2024-05-27 04:07:01
0
To see more videos from user @rahma_daudofficial, please go to the Tikwm
homepage.