@gapowertv: Siwezi Kwenda Sehemu Yoyote Na Nikamwacha Mtoto Wangu Kwenye Mazingira Yaku Tatanisha (Ni Kweli Mara Nyingi Si Uzurie Misiba Wala Sherehe Za Wenzangu Ila Mtoto Ndie Mtu Uwaga Ananisumbuwa Sana Hadi Kunipelekea Kushindwa Kufika Sehemu Kama Hizo ..