@synpixelog: jinsi ya kuzirudisha picha na videos ambazo ulishawahi kuzifuta katika simu yako..,how to recover your deleted pictures/images and videos #techtanzania #technology #technologygyan #phones #samsungtips #samsungtips #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyatiktok #ugandanstiktok #viraltiktok #androidhacks #foryoupage #foryou #fyppppppppppppppppppppppp @ara boy tanga namba7
synpixel
Region: TZ
Wednesday 29 May 2024 18:56:48 GMT
Music
Download
Comments
faridi kubanda :
jee kuna uwezekano wowote wakufnyaa kama ikatokea Google photo kujaa
2024-05-30 17:51:27
6
Sev :
good
2024-07-18 06:19:45
1
ZUHURA :
je vp unaweza kujito Kama mtu ame hag
2024-05-30 05:35:54
1
Irene Kelvin99 :
jaman we kaka nisaidie nijitoe kwenye trick ya kuona simu za mwenzio ya**21*number# please
2024-06-30 07:59:22
1
superbruno simeo :
je unafanyaje ili kujua password za wi Fi
2024-06-05 06:37:45
0
MiesiPro_0310🇹🇿✅️ :
its true
2024-06-26 01:30:36
0
Nkngwa119 :
me hata cjaziona
2024-07-06 19:17:55
0
Moon Six6 :
Pamoja sana bro
2024-08-10 14:53:19
0
RDDY CHINA :
kv
2024-07-14 21:24:26
0
Laurent77 :
uongo mtupuu yaan watu
2024-05-31 19:59:16
0
Frey's Jr🤏 :
vipi kama izo picha au video hazijawa uploaded to google drive unazipataje maana hapo picha na video zime kuwa backup kwenye Google drive
2024-08-21 19:44:35
0
keysman desirable :
noma sanaaaa
2024-07-30 14:37:10
0
Saleh Mokiwa :
kama nimeflash simu kwa computer haziwez rudi?
2024-07-14 23:46:51
0
proudfoundationtz :
umtisha mwanangu 🫡
2024-07-27 11:02:19
0
iddrsa :
mbo mm sija ziona picha nilizofuta nisaide
2024-07-03 05:44:12
0
Marvelous🎧 :
Vp kama una sim mpya na photo zilifutwa kwenye sim ya zaman
2024-06-24 10:29:39
0
Lee last B :
hiyo ni kwa android vip iPhone
2024-06-03 04:09:57
0
zwena jamal :
inawezekanaje kurudisha account yako ya watsap ambayo imehackiwa
2024-06-09 19:23:00
0
mtugame out2 :
thanks broo
2024-06-07 21:18:03
0
kuna kitabu nilikuwa naandika nikakipaste mahali ambapo nikifungua hakifunguki tena wananiandikia sina app yenye uwezo wa kufngua unanisaidiaje???
2024-12-31 17:07:46
0
Mwakasege just05 :
imegoma kaka nmefata procedure zote
2024-08-20 14:43:28
0
Bony bon :
follow
2024-06-20 16:21:28
0
livinus :
apo ni ikiwa picha ulikuwa umezisev Google
2024-05-31 21:12:51
0
To see more videos from user @synpixelog, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.