@nahad360: Siku zote kukubali matokeo ndio njia pekee ya kurudisha furaha yako, na usiwekeze furaha yako kwenye sehemu ambayo sio salama kwako kwani badala ya tarajio la kurudishiwa furaha unaweza kupata maumivu daima ishi sehemu ambayo furaha yako ipo...#foryou #mapenzi #usaliti #upendo #maumivu #fyp #tafakari #mahusiano #viral #capcut #viralvideo #tranding #foryoupage #tanzaniatiktok #kenyantiktok #ugandatiktok #oman🇴🇲 #Love