@hassanmwakinyo: Hii style inaitwa dance la pokko …. they didn’t expect 😂😂😂 yani kile kikundi flani cha watu wenye dhamira za hovyo kwangu hawakutegemea kama ningeweza kupindua meza namna ile eh M/mungu mrehem mama yangu kipenzi bi fatma kwa kunijenga kuwa kijana imara shupavu, mwenye moyo mgumu kukubali matokeo ya kukwamishwa humu tu 🎶 sense 🎶sense 🎶ten ten
Coloradoking
Region: TZ
Monday 03 June 2024 07:33:41 GMT
Music
Download
Comments
Tygar Tz420 :
Bondia was mchongo
2024-06-03 09:42:06
92
Meddy el nassor :
John Rambo wa TZ 😎😎😎😎🥰🥰
2025-12-27 06:19:22
6
boyking8266 :
ipo siku utaingia anga za msouth itapondwa kama kisamvu
2024-06-03 10:27:42
10
user3074106459372 :
pumbav sana🤣🤣🤣 ndo wakutukeshesha hadi saa 9 ww kisha ukizingua
2024-06-03 12:40:34
8
yona mkondya tik tok :
ila mboga,,, 7
2024-06-03 09:43:56
7
Kingmswat💌 :
Punguza mdomo ... acha kuongea na maadui... wewe fanya vitendo kisha songa mbele... thamani yako inapanda
2024-06-03 07:58:31
7
mofasa_mobile :
😂😂😂unaowakera wenyewe wamekutwa wanacheka
2024-06-03 13:50:11
13
Abdull razack :
ukimuona kama jinga fulani hivi ila ukijichanganya wafaa
2024-06-03 13:02:31
7
8575DULLY :
Champ imeweza 👌😆😝😆😝
2024-06-03 12:57:58
5
KAKA MDOGO 🌅 :
humu tu🤣 dance la pokko
2024-06-03 11:25:53
9
Rwanda🇷🇼 :
Ila Mwakinyo kucheza saw kupambanaa aaaah😂
2024-06-03 10:39:22
6
Barama Komaji :
Nakuona Mtoto wa Kidigo haha 😆 kaza Tanzania 🇹🇿 Bondia ni Mmoja nae Mwakinyo
2024-06-04 09:10:43
5
chungaadventures2020 :
nakukubali Sana home boy huna makuu wataleta figisu Sana kukuchafua
2024-06-03 11:13:59
5
reallyvoice :
mtakufa na visokorokwinyo
2024-06-03 13:17:18
5
MOCCO_TRONIX📲💻☎️ :
champz bondia wa taifa big up bro
2024-06-03 10:56:55
6
Salim_sportwear :
😂😂😂😂😂😂 Sema mapambano yako mkuu yana mapambano mengi yule mgana ikabidi mumlipe tu aachie 🤣🤣🤣
2024-06-03 11:19:59
6
BAMSI BEY⚔ :
kwa mambo unawenza kweli lkn sio ngumi tena wewe unawenza hilo chicha rika song
2024-06-03 11:12:17
5
Mottoz01 :
Hyu ni cheka plus tv 😂😂😂
2024-06-03 12:46:39
5
Smith🎃 :
Man of The people ( we call him champion with his own assertive personality) let take 🇹🇿 to world wide
2024-06-03 11:10:38
23
HomelessgaminG :
🔥🔥🔥🔥 champion mwakinyo the king 👑 of bondia Africa in duniani
2024-06-03 14:15:34
35
Paul Pius :
ila harmonize 😂😂
2024-06-03 13:42:41
9
mkindy :
I appreciate what your doing broo..pesa kwanza sio upigane ngumi zinavyoumiza alafu mtonyo kisoda
2024-06-03 10:24:00
5
Passha :
nice song💯💯
2024-06-03 13:26:14
5
NICKAS PATRICK :
ila harmonize🤣🤣
2024-06-03 13:13:22
5
minnah :
I appreciate you mtanga wetu 💯
2024-06-03 13:36:02
17
To see more videos from user @hassanmwakinyo, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.