@rahma_daudofficial: Replying to @🔮🪬mamuu-nash254🧿♋️ #Rahmafacebeat #Foryou #fyp

𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀 𝐃𝐀𝐔𝐃
𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀 𝐃𝐀𝐔𝐃
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 08 June 2024 06:39:38 GMT
223072
6111
246
368

Music

Download

Comments

ms_jennie71
Ms_Jennie :
rose water,star anise,cloves🔥
2024-06-09 17:39:26
11
hawa_mish
MissV8 :
Mwenyeshida ya period hupati period vzr chemsha karafuu tia kwenye chupa kunywa kWa unavyoweza utakuja kuona miujiza yake
2024-06-08 06:48:58
7
kelvin.kiangai
maria :
habari dada mbona mimi nikitumia rose water kichw kinauma sana
2025-12-21 15:44:11
7
macklina_hamad
💎 millionaire mindset 🧠🧿💰) :
mimi huwaga nakunywaga karafuu ila kila nikinywaga jamn napata hela ambazo hata sijaomba
2024-06-08 13:11:46
18
tunsu453
Mamaa j💕 :
karafuu ni kiboko ya kusafisha takataka zote kwenye kizazi na hutakaa kunuka harufu za ovyo ukeniyaan ni🔥🔥
2024-07-13 19:02:29
8
ayshakamby
ayshakamby :
Mm kiukweli nisahau kuumwa U.T.I na fungus kwasababu ya karafuu na mdalasin
2024-06-08 13:50:42
8
zainabsuleiman125
Zainab Suleiman125 :
da rahma please😭mumewangu mbegu zake hazina nguvu ni nyepesi na kila ninakoenda naambiwa ni mama yake ndo kamfanya ivyo 😭 hatuna watoto na nyumba ni watoto please anaweza kutumia mkojo au karafuu
2024-06-08 15:48:46
3
anithasarvator
Anitha Sarvator :
iyi yangu iko poa?
2026-06-12 15:33:07
1
mwanneshuku
MWANNE SHUKU :
uko wap jamani mimi ninachunus nyingi na pores
2024-06-08 07:41:38
2
aryanah298
Zayrash collection :
Nahitaji da rahma
2024-06-08 06:56:40
2
wabombajunior
Ivy#talented queen 👑 :
karafuu kwa kizungu😂
2024-06-10 07:05:52
0
msuyanami
msuyanami :
ntafuta hela jamani nijiunge kwa hilo group unajua kunikosha dada mkubwa
2024-06-08 06:47:59
3
efraziaezekiel
💜Trinity 💜Ezekiel💜 :
da Rahma me nnaushuhuda mlefu ngoja nikitulia nitashea na wapedwa wangu tukupendao
2024-06-14 17:13:02
1
magrethdeus37
Magreth Deus :
sasa ka product kama hako elf kumi mimi nipo mkoani utaeza kunitumia kweli au ndio utakadharau mama
2024-07-08 11:07:28
0
rockbaba747
Rock Baba kubenea :
🔥🔥🔥 ningesema ngoja nikuache piga kazi mshikaji wangu wa nguvu umenisaidia kamkojo hatar 🔥🔥
2024-06-08 17:04:02
1
cast2623
cast :
nipo Kilimanjaro napataje
2025-10-12 15:50:39
0
vicky930000
Vicky Kwayu :
Mimi uso wangu una chunusi balla
2024-07-21 20:44:38
1
officialzabby1
officialzabby😘 :
jamani mimi naitaka hiyo ila nipo majohe naweza kuleteqa
2024-06-14 15:43:42
2
manotty2
user6174569458166 :
Hiyo haina shida kwa mtu mweusi yan haichubui??!!
2024-06-09 20:48:41
1
zuhura0017
user385737 :
sisi watu ya Nairobi tuna pata aje?
2024-07-26 22:02:19
1
anifa1325
anifa :
wekundu chini ya macho je
2024-06-08 07:02:59
3
user7091975742957
user7091975742957 :
niko kenya unawesa kunitumia
2024-07-29 15:49:37
1
dwese01
Emanuel :
kigamboni sehemu ngani Rahma nijekununua
2024-06-08 06:51:55
3
mwajabummhmbaga
mwajabummhmbaga :
dada rahma tuliokuwa kifaru tunapataje? nikisema kifaru dada unanielewa mdogo wako
2024-06-09 14:54:48
1
zukisa77
JOE BOY :
Mashaallah
2024-06-08 06:45:01
1
To see more videos from user @rahma_daudofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About