@minaah471: wataniteketeza😂😂😂#ammygirl❤️🦋 #farajagang

Miss Minie💎🐇
Miss Minie💎🐇
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 June 2024 19:52:36 GMT
229275
3782
387
932

Music

Download

Comments

cathytz244
Chaupole244 :
wanapanga kunimaliza 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂baba wanapanga kunimaliza
2024-06-11 08:34:32
38
nesi.mwakafuje
Nesi mwakafuje :
bora ww songesha unakopa tena mimi mgodi nililia kwa sauti kubwa sana
2024-06-11 04:34:14
44
monnah64
MonnaLisa🤍 :
Usiseme hivyo jamani me nilitumiwa hela nikalipe kodi na nilikuwa sina ata mia mbovu mpawa wakapita nayo yote nilikuwa natoka kazini nikasahau hadi njia ya nyumbani nyiee isikiee kwa wenzioo uwiiii
2024-06-13 13:29:27
17
hylina74
hylina :
unakopaje songesha 🤔anae jua anielekeze
2024-06-12 20:26:26
4
joyce.mwanjala
Joyce Mwanjala :
songesha ni kweli uwa mnatusaidia lakin muwe mnakata ata kidogokidogo jamn mtatuuwa wengi😳
2024-06-10 21:13:23
26
ayla.cute3
ayla cute :
yanii m nashangaa Airtel sijawahi kukopa,ila nikiweka hela eti wanakata 4250wanasema imetumwa kwenda kwa gogle play store,ndo nini na sijawahi kukopa
2024-08-27 13:57:54
0
user666531970481
rahma :
mie nimekopa 7000 na lain nimevunjaa
2024-07-18 15:57:28
0
jasmine.michael33
MOMBASA RAHA🇰🇪 :
Songesha ndio gani
2026-02-10 21:10:16
0
princessmaliamusahelo
princessmaliamusa :
ila hawa mbwa mm sina hamu nao sijawai kopa eti kunikata 40 nimekatwa songesha who 😪😪😪
2024-06-12 11:40:48
11
sakina.kamagi4
Sakina Kamagi :
ni.mecheka kama.mazuri mimi walipita.na.mgodi nilipoteza faham na kila kitu kikaenda hovyo
2024-07-07 19:17:33
5
domitionmibazi
Domition Mibazi :
nilikatwa elf 70 na airtel afu nikaambiwa sina vigezo vya kukopa tena
2024-07-11 19:57:48
2
viatuvyawadada
Kilianah 🌚✨ :
Me songesha siielew hv kila sku ela inaongezeka au
2024-06-14 19:18:38
1
siyerbeka59
SIYER BEKA ♥️♍️ :
Inauma hii 😹
2024-06-10 20:39:26
10
dianabaraka3
Miss Di@n@🥰 :
😂😂😂😂😂tafuta lain ya ziada me nimeshawajulia nmetafuta lain ya ziada
2024-06-11 08:10:30
7
leebabeswurv
Ma’mtu🌸🦋🌸 :
Hela ya mchezo ilikatwaa niwezesheee na bustisha almanusra nipoteze uhai 😩😩
2024-07-23 19:38:04
1
steward.chaula
Steward 🇹🇿 :
ila songesha wanajikaushaga kama hawapo🤣🤣🤣 ukiweka hela inaanza ile ya umelipa sh kadhaa kabla hata ya ile ya kupokea
2024-08-20 13:57:37
1
handyhoney3
handyhoney 🍯🍯 :
😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂inaumaga kuliko jmn sikia kwa mtu tu ni maumivu guys
2024-06-13 18:42:24
1
deborahsichone651
madam :
acheni tu sikia kama hv yasikukute
2024-07-15 19:20:33
2
sevelina92
Sevelina :
nmecheka kwa nguv kama nalipwa uwiii 🤣🤣🤣 pole my
2024-07-21 19:15:27
3
allymapinduzi975
Allymapinduzi975 :
dada angu acha tuu kama mimi nilitumiwa na baba ela ya kodi 50000 we acha ikapitiwa songesha sina ata amnao
2024-08-29 08:40:18
1
angeljoh4
Angel cute :
kwani wakat unakopa mligawana na yesu😂😂😂😂
2024-06-12 08:22:43
2
oliver.kweka.muni
Oliver kweka munishi :
Mimi nilikopa Tigo Nivushe nadaiwa uko 1034000 yan niliungaga sms za 2000 kuwabia watu wasitume ela umo
2025-09-09 12:46:42
0
lumomo28
🦋LUMOMO🦋 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kaaaah ilaaa
2024-06-10 20:10:44
2
nabby_49
nabby_123 :
Nimecheka kizembe mbele za watu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2024-06-13 17:04:55
2
law_momo6
@__momo 🩷🔏 :
loli hawachelewesh washenz ao cn hamu😹
2024-06-11 08:58:54
1
To see more videos from user @minaah471, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About