@krizstof: #nature #spirituality #god #tanzaniatiktok #kenyantiktok

Chris🇹🇿
Chris🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 June 2024 10:50:02 GMT
13266
616
130
113

Music

Download

Comments

vv3asia
Vivian_Herbalist 💜 :
this is deep but truth 🤝
2024-06-11 13:25:50
2
emypapaa3
Emy Papaa :
Bata huyu anaitwa goose
2024-06-27 04:28:22
1
dreamlesshome01
not enemy :
hili somo la msingi sana that's why ukifikiri kama unaumwa unaumwa kwel
2024-06-28 13:38:31
1
kiredio955
Gmark :
sas napata maan ya Luke 9 :23-25
2024-06-27 05:23:16
3
nyotampya8
Nyota Mpya :
✌️🇦🇼 tajili
2024-06-11 13:40:46
0
b_boe23
Mollel jr :
naomba uelezee kuhusu astral projection
2024-06-11 12:18:50
0
oscarlee489
oscarlee489 :
sasa natokaje apo kwenye nafs
2024-06-16 13:09:05
0
kdm1596
KDM :
mipaka inaexist tu kwenye form ya mwili,tumekosa maarifa ya kutambua ukweli huu dini zimetupumbaza kuamini sisi n watumwa hatuna Mungu,tunahitaji kuokolewa na mungu kutoka nje yetu
2024-06-11 14:10:02
2
kdm1596
KDM :
Nice work kaka nimejifunza kitu kuwa mwili ni jela pasipo kujitambua kuwa sisi ni nishati huru ambayo haikuubwa wala haitoharibika we are God eternal and self-sufficient.hatuna mipaka
2024-06-11 14:07:16
2
djkibig
djkibig :
swali langu ni moja astro projection si ndio kama wachawi wanavyoweza kutoka kwenye mwli wao na kuja kwako usiku au mda wowote
2024-06-13 05:27:27
0
biggabigga20
BIGGA :
Barikiwa sana we jamaa unajua sana kuelekeza unajua sana kuwa mwalimu unakila aina ya sifa ya mtu anae elekeza
2024-06-19 14:43:51
2
ann.chebii
Ann Chebii :
shukran 🙏🙏🙏
2024-06-19 19:31:07
0
emmytopbeauty888
emmy_top_beauty888🧿 :
wow 🥰 kaka naomba uwe mwalimu wangu kwa undani zaidi please
2024-06-17 14:51:57
1
winqueen09
user1229373909119 :
hili somo limenipa nguvu kiukweli
2024-06-16 08:07:11
2
user82613245314813
Eric :
Umetisha sana brother.. chukua maua yako
2024-06-15 20:10:18
2
moonservice1
Moon technical service :
Kumbe ndio maana tunaambiwa adamu alifukuzwa edeni kwa kula tunda la utambuzi wa mema na mabaya?
2024-06-16 06:24:50
1
moonservice1
Moon technical service :
Kaka nakuelewa sana hili darasa nimeanza kujifunza huku kwa muda ila wewe uko open na kuelewa zaidi keep going bro tufungue akili
2024-06-16 06:20:33
1
nadiah_dhahabu
Nadia dhahabu :
una uwezo mkubwa wa kufundisha keep it up
2024-06-14 16:40:19
2
raffa_elloy
Rwakimwaga :
nakupa maua yako
2024-06-15 01:37:50
1
nifertheone
Niffer the one :
niko na wewe hatua kwa hatua natamani kujua sasa
2024-06-11 11:16:26
3
fadhilikyando103
Mr kyando 103 :
kaka mbona kama nakuelewa sana ila nawezaje kuvunja ukuta Ili nifikie kiroho
2024-06-11 18:12:05
2
kerl4up
Kerlimkerl :
Tuna Shukuru Kwa Elimu boss
2024-06-12 15:31:30
1
kerl4up
Kerlimkerl :
Ye kusema tuna ishi maisha yalio pita ni kwamba sisi sote ni kitu kimoja, Wewe usha kuwa mimi Mimi nsha kuwa wewe (Incarnation theory)
2024-06-12 15:14:17
1
frankmwagito
Electrician Frank :
Ww Ni mmoja wapo ya walimu wazuri 👏👏👏
2024-06-12 04:45:29
1
user2518267377516
bilionea :
sasa najiuliza wanavyosema adamu na hawa wamekula tutunda wakajifahamu Hilo tunda ni lipi? huo ufahamu ndio Hilo tunda 😇😇 au
2024-06-13 13:22:59
0
To see more videos from user @krizstof, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About