@dr.issambashu: @Elimu ya Afya NJIA SALAMA ZAIDI YA UZAZI WA MPANGO #drmbashu #drbenny #drissambashu #tubemedical #tanzania🇹🇿 #daressalaam🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #nairobitiktokers🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #rwandatiktok🇷🇼 #congolaise🇨🇩 #burunditiktok🇧🇮 #zanzibar🇹🇿
mm nimetumia kitanzi for 6 years cku nimekitoa na mimba hapo hapo ni nzuri kabisa
2024-06-13 11:06:39
12
dafedanic :
doh hatimaye nakuona lecture wangu wa obs and gynacology
2024-06-17 21:30:26
5
pinnah_silva :
thank you doctor
2024-06-22 13:50:53
2
Bellarose🌹 :
Dr kuna Chinese ring yenyewe haina kamba na wala haina effect yoyote ni nzuri zaid ya coper T ukihitaji niko nazo
2024-06-19 19:06:29
4
mkusujully :
doctor group 0- sindano ni lazima? na je usipochoma kuna madhara gani?
2024-06-12 18:05:37
1
Mercy :
habari dokta?Kuna uwezekano wa kupata tena mimba kwa mwanamke ambaye mimba ilikaa nje ya mfuko wa uzazi then ikatolewa kwa operation yaan ectopic,?? anaweza kubeba mimba tena??
mm nmejifungua mwezi wa 2 wa 3 nikaingia period mpakaleo sjaona tena shida nn
2024-06-20 11:07:48
0
Dactari wa vijana💊🩺👨⚕️ :
je kwa hiii strip ya LH inawez tumika kama njia ya uzaz wa mpango au nikwajili ya kupima ovations days.?
2024-06-12 20:07:40
2
doreenmalkiafashion :
Mbona mm nimeweka kitazi sijapata period miez 9 je nivibaya
2024-09-03 20:33:21
1
MammyHuldah :
Dr naomba unisaidie me nilitak kuweka kitanz nikaambiw njia yangu ndg haisapot sasa njia nyingne kwa sabab ya overweight nashindw kutumia sasa nifanyeje au nifosi nikiweke hvohvo
2024-06-14 02:51:50
1
double k :
apo ikingangania wakati wa kukitoa inakuaje mbona km naogopa je akiwezi niletea kansa ya singo ya kizazi nakuomba sana unijibu maan mm nimeweka kitanz
2024-08-11 19:34:21
0
J.Y :
asante kutuelimisha
2024-06-14 03:06:13
1
salsher_outfit3 :
Dr naomba msaada nilikuwa natumia sindano nimechoma 3 imeniletea athar ya overweight na kukosa hedhi nikaacha kuchoma sasa iv niko na miez 6 cjachoma
2024-07-14 10:17:22
0
sweetmamu :
mm nimewahi kuweka kitanzi zaidi ya mara 2 kinatoka baada ya siku 2 au tatu.
2024-06-25 17:13:01
0
Glam by MIMAH ✨ :
Mm nmeweka kitanzi Ila nahis maumivu chini ya kitovu hiyo ni kawaida
2024-06-23 08:47:18
0
f.a.u.s.t.a :
Kwanini watu wengi wanakimbia kitanzi
2024-06-14 17:20:38
2
Abby k :
thank you
2024-07-13 06:42:29
1
NyumbaniPark_Kigoma🔥🔥 :
Asanteni sana🙏.. nimejifunza kitu
2024-06-20 14:05:32
1
pee cute :
huyu ni Mimi jamani kwenye shoo
2024-06-17 20:17:25
1
Jackline stores :
Naomba nitajie hosp nzur ya kwenda kuweka kitanzi
2024-11-23 08:54:59
0
Kasholomi Martine :
doct ndg ang anatumia sindan lakin kila siku anatokwa na dam japo ni kidg kidg ,, je hii imekaaje
2024-09-17 23:06:56
0
user9399863606161 :
Samahani doctor kuna watu wanasema njia ya kitanzi huwa inauma je kuna ukweli kwa hilo
2024-06-13 15:01:59
0
To see more videos from user @dr.issambashu, please go to the Tikwm
homepage.