mbona nikipigiwa simu alafu niitike inazima as in siwezi operate kama naongea nayo.alafu nikimaliza kuongeza ndo sasa screen inarudi normal?? help please
2024-06-16 20:24:17
1
vonraxh :
vp kuhusu kuset ili uone views kweny what'sapp
2024-09-11 08:07:11
0
alphonceanthony14 :
kaka kunamtu kani ungnisha nisaidie kaka
2024-09-05 19:53:41
0
bonge :
nataka kutoa matangazo kwenye samsung ukiwa unadowlod nyimbo vidimet
2024-08-25 11:29:08
0
mr innocent Daniel :
ahsante bro
2024-08-23 16:45:03
0
YUSUF MOHD :
bro mm nko na shda ķwenye cm yngu kila inapoingia msg kwa wasap hailii ile notification sound je inaeza kuwa tatizo n nn?
2024-08-07 19:19:00
0
Michael bwoy :
sawa
2024-07-29 19:48:31
0
user9887538443574 :
mm nataka nikiangalia status za mtu asinione
2024-07-21 18:17:51
0
Joyce :
mambo
2024-07-18 11:42:27
0
Minah 🦋💙💜🤎 :
jamn naomb nielekez nikiwa naongea na cm call zingine ziingie
mwanume unabana kama shoga ndo unaiga wazungu ama nii Nini
2024-06-30 09:44:50
0
mama viny :
na simu ikimaliza moto mbio unafanyaje? for example umechage Leo na kesho moto umeisha
2024-06-26 22:19:02
0
abdallahrashid275 :
brother naomba msaada zaidi kuhusu kuhifadhi picture kinyume na google photo au drive
2024-06-23 14:32:51
0
khan :
elekeza jinsi ya kutum normal sms ichelew kufika..
2024-06-22 23:13:32
0
sabina :
kaka angu naomba msaada wako Leo nimekutana na matapeli wa mtandao. na wamenifungia feisbook yangu naomba msaada kwa kuifungu mana pia wanatuma link ya utapeli. ili watu wangu waijoin ili kuwatapel
2024-06-22 14:43:32
0
liammissaih :
bro sim yangu ni samsung note 20 utra screen shot nikipengere kingumu utungu wangu wote nimeshindwa kuset
2024-06-22 10:39:43
0
@chipda12 :
vip ipo njia ya kumondoa admini kwenye whatsapp haliakuwa ww sio admini, nijibu please 🙏
2024-06-21 18:49:23
0
@chipda12 :
n2mie namba yako please
2024-06-21 18:48:26
0
cate 001 :
nionyeshe vile naeza fanya kwa fb mtu akinitumia message inasema not set bila kumblock
2024-06-21 13:04:45
0
To see more videos from user @eng_makelele, please go to the Tikwm
homepage.