Kwan alikua na camera man wake...mbona anaonywesha sanaa kuliko bibi harusi 🥺
2024-06-17 08:42:24
25
byerabajulizy :
duuuuuu hope mwenye shughuli ilifika point atakuwa hakupenda
2024-06-17 07:25:04
18
merry ivan :
kimbe apa ndo alipo kata viatu akapewa makobaz🤣🤣
2024-06-17 12:17:09
15
fify❤️🦋 :
Mtu asiguse comment yangu🥹
2024-06-17 08:08:48
12
Rebby🦋❤️🔐 :
huyu mdada n kichaa au!?
2024-06-17 07:05:15
9
ever1@ :
🧑🦯🧑🦯 sijaona stak dhambi mm
2024-06-17 07:10:57
7
lee :
Sijui why watu wanamkasirikia huyu dada, mi naona ni mdada aliechagua furaha yake mwenyewe, she’s fun girl 💃💃 wacheni kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu😂
2024-06-17 07:26:49
13
Brownies :
hata km tunaishi once ila mh ndo awe na fujo hvo
2024-06-17 11:44:28
7
user9227091745595 :
yan ukiona mtu anavibe ivo kweny shereh ujue anastress sana,,, yan apo akikumbuka mamb yake yanayomuumiza anabid tu acheze ya ela yote