@pop_juicebar: BOOSTER YAKIBABE SANA HII NI SMOOTHIE YA TENDE HEAVY na inapatikana kila siku hapa kwetu @pop_juicebar Hii utaipata kwa ujazo wa nusu lita kwa sh 6000 na lita 1 kwa sh 10000 tu Mchanganyiko ni 1.karanga 2.dafu 3.korosho 4.muhogo 5.Almond 6.ndizi 7maziwa .8Tende ☎️0675775620 piga simu kuweka oda yako 🔺Tunapatikana ubungo mawasiliano stand ya daladala opposite na Geti lakuingia daladala #viral #trending #foryoupage #fyp #kenyantiktok #
hakuna cha busta ,
kama Huna nguvu za kiume ndio huna
2024-08-08 04:11:24
18
MA_Aisha :
too much protein in a glass
2024-08-13 10:12:26
5
256kipsang :
how much I need one but in Uganda
2024-09-07 11:37:06
1
KING :
how much
2024-08-29 08:19:15
1
official Maiya samy 🔥❤️🔐 :
siendi wanangu siendi katuma ya kutolea lakin siendi 🤣🤣🤣🤣
2024-08-11 19:49:11
1
catalea :
😳😳duuh niipate hii nikamshuulikie mtoto wa mama mkwe
2024-08-11 18:12:03
2
JOWI ADUI-NYANG' :
Gas tupu
2024-08-09 05:45:57
1
Dr Rosemary :
hii nayo joto itakuwa moto
2024-08-12 16:46:00
1
Amadou :
vipi shemeki
2024-06-21 17:35:30
1
Jasi :
Hii ni kifo 😂
2024-08-16 02:40:49
0
jicante🤨🤨 :
Mko wapi kenya nairobi
2024-08-12 07:18:41
1
@bobbyjay :
Nguvu za kiume ni pesa
2024-08-13 01:56:11
0
Framo :
nitaipata wapi inauzwa wapi
2024-08-26 06:04:52
0
Eizer :
Kama huna huna tu. Waambie wale lishe nzuri na mazoezi wafanye. Elf 10 anapata mlo mzuri kabisa wa siku 3
2024-09-01 16:39:44
0
Hajji Ramadhani :
asli na tende wapi??
2024-08-30 20:48:31
0
FUNDI÷ GYPSUM BOARD !! RANGI :
Sorry naomba kuliza Je, wanawake wenyewe huwa hawapungukiwi na nguvu za kikea au huwa wanapungukiwa guys naomba majibu yenu guys.......? Wanaume skuku 2changnye ikuwe mpaka ipasuwe Kiputo tulaumian 😁
2024-08-27 22:17:29
0
Hmoud al busaidi :
salasala
2024-08-10 10:01:29
0
Ayisithethird sibuor :
I am a scientist but sitaki kuharibu biashara za watu😂😅
2024-08-12 17:29:39
0
luminaz lafta :
plz 4 girls or boys!
2025-02-15 06:57:39
0
Yercyno Lambardo :
@MISS P 🇰🇪💜
2024-08-13 10:11:27
2
rajabismailkaichi :
🥰🥰🥰🥰
2024-09-03 11:35:06
1
ringliving :
@pop_juicebar kumbe unatuchanganyia na almonds sikuhizi
saf sana wknd nakuja
2024-08-14 16:24:28
1
dullypogba :
utahara ww bustaa🤣😂😅
2024-08-28 20:04:13
1
jaʍɛsҡᎥʍɛʀᎥa :
Yote tisa kumi Pesa ndio nguvu za kiume..common Numerator musisahsu wana😁😁😁
2024-08-09 19:42:43
1
sweetheart :
jamaniii,baada ya kunywa hiiii,wacha nitulie tuliiiiiii
2024-08-11 18:56:30
0
To see more videos from user @pop_juicebar, please go to the Tikwm
homepage.