@gapowertv: Kusema Kweli Mimi Siyo Mjamzito, Nasiwezi Kuwadanganya Kamwe, Nimesha Ongea Sana Ila Watu Awataki Kuamini Ninacho Wambia, Sijuwi Niongehe Kwa Luga Gani Hili Mnielewe #Chocalate Afunguka Mazito Full Interview Tayari Ipo You Tube Channel Yetu Kwa Sasa Cc✍️ @side_mnyamwezi1 #AfricaIsWatching #GAPOWERTV #AmericaIsWatching