@auntweightloss: uzito wako toa 50 alafu angalia kwenye chart yangu hapo upo wap wewe #foryou #musoma #moshi #bukoba #foryou

Aunt mifupa Meela
Aunt mifupa Meela
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 June 2024 07:34:40 GMT
231642
3081
440
646

Music

Download

Comments

jackson106jf
jackson hamis :
consider height, acha kudanganya people
2024-06-26 14:00:15
41
marryphyzzo
marry✨️♥️♥️ :
aunt nijibu sister bs mi marry
2026-01-01 12:09:49
1
adleyum25
Sherose23🥀 :
47-50=-3😂😂😂
2024-06-24 18:14:58
15
brianmapesa1
Brianmapesa1 :
Formula haipo sawa,inategemwa na urefu.
2024-06-24 16:37:11
15
lissedion_
lissedion ♓️ :
8 😩
2026-04-02 20:57:47
1
steph_oraro
Orass :
Huyu alisomea wapi
2024-06-26 21:45:22
1
mwanah201
mwanah💋 :
😂😂😂nna 47 nadaiwa mbili
2024-06-24 11:58:06
5
superiourvansuccess1
user1735512563130 :
lakini tulijifunza mbinguni tutapewa miili mipya banaa em sasa tupumzikee🤣🤣🤣🤣
2024-06-24 17:53:28
5
its_romy46
༄ʟᴏᴡ ᴋᴇʏ࿐ :
50kg-50=0 mm inakuaje
2024-06-25 14:14:26
1
koxlov
🥰Buttercup💦🩷. :
BMI HATUSOLVE HIVO BHN 😂😂😂 katafute hiyo shule ya BMI Kwanza ndo uje bhn😂😂
2024-06-25 05:11:27
11
louisgilbertt
LΞUIS :
Ko watu wote wawe na 68.5-74.9kg sindio 😂ila shule za tiktok bnh 😂😂
2024-06-25 13:11:41
6
htynoo
J :
Kwani huyu anajua maana ya BMI? Watu wamevamia hadi sekta zinazohitaji proffessionalism.
2024-06-24 20:06:52
1
linnerpius349
[email protected] :
55-50=5😂😂😂
2024-06-24 11:42:46
5
.silaslee
.silaslee :
BMI aipimwi na iyo formular, na inategemea umri wa mtu, jinsia, urefu na factor zingine... Acha kudanganya watu
2024-06-25 06:50:00
4
rrntc
K' D_Evans :
so normal Ni tofauti ya kilo Sita?🤣🤣🤣🤣 ebu ongea kuhusu kitu kingine
2024-06-25 04:16:26
1
dr.ax1
Dr. Axe :
Kumbe Kuna formula mpya ya kupata BMI na hatuambian? 😂😂😂😂😂😂😂😂
2024-09-14 06:56:19
1
ndibalema_
master mind :
ACHA UWONGO 😅
2024-07-01 14:28:44
1
mcmane7
McMane :
Dada wambie wasio jua!! au futa hii video mtu slay Queen ana 48 alpkotoa ana -2 ko ndio nini
2024-06-25 04:53:53
1
mcmane7
McMane :
dada hiyo ndio BMI kweli?angalia usitumislead Mimi Nina 57 nikitoa nabaki na 7
2024-06-25 04:50:47
1
alpha_ibra
alpha.KAGOMA :
Yaani nina miaka 25 ila nikitoa 50Kg nabaki na -2Kg 😆😆 aiseee hadi aibu
2024-09-10 20:01:01
1
mgolola.346
mgolola 346 :
nabaki na 31 bt yategemea na urefu kama mimi nko urefu wamita 5.8
2024-06-26 20:16:33
1
user8608660380766
user8608660380766 :
usituchoshe
2024-06-26 21:52:52
1
jaguar1399
junior kwende :
huna point ya msingi, au maelezo yakoo hayajitoshelezi
2024-07-04 20:55:40
1
fa93101
Tuma 😘 :
kweli
2025-04-02 07:58:29
1
To see more videos from user @auntweightloss, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About