@gizani_comedy: Leo hakuna kucheka ni kushoto tu hata kulia nimechoka...NI FACT KWA KWENDA MBELE #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #injinia #tanzaniaengineer #udsm #ditcollege #mustcollege #veta #sido
Bongo wapo wanaoweza tatizo mazingira wezeshi hamna. Ukitaka kutenheneza chochote ni lazima uagize na unakuta kitu cha 30000 kinagharimu 200000 kutengeneza.
2024-07-29 06:48:45
1
maeria Numero uno :
hehehe
2024-08-01 16:53:53
0
user5769790745097 :
mzungu hawachi watoto wanyonye kwa mama zaidi ya mwezi 1, na sio zaidi ya dakika 1. jNilifuga breed na vet mzungu akaniambia sio nzuri hawatakuwa
2024-08-05 21:12:10
0
humbleking :
Mpaka veta wamefikiwa🤩
2024-09-06 03:34:02
0
×£× machine :
engineer Sudi
2024-07-27 19:09:16
0
mapambo_na_keki :
ukarabati 😅
2024-08-29 12:39:14
1
TashKamau8 :
😂😂😂😂
2024-08-05 16:46:24
1
bkmoja1 :
😂😂😂
2024-06-24 18:36:43
2
Salmin Mkanya :
😂
2024-12-03 10:15:34
0
omosh :
💯💯
2024-08-02 15:17:28
0
apple girl 20 :
😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
2024-07-31 11:28:34
0
@NYENYEMBE👟 :
🤣🤣🤣🤣
2024-12-03 13:38:39
0
Gio 𝕏 :
Does the pressure increase or decrease?
2024-06-25 03:15:09
32
saffnet :
eng Hersi anaikarabati yanga
2024-06-25 04:28:19
30
Nikole :
And we're busy going to churches and wearing expensive belt and watches and garage full of Cars
2024-08-05 19:57:26
29
daforogo🌷 :
majinaa makubwaa tuu mpaka nashangaaga
enginia anakushauri agiza China kamaliza
2024-06-25 10:02:16
22
Baraka Kitale :
maengineer nao wanabet mtaani kama sisi 🤣🤣
2024-06-24 19:20:05
14
SmartTechCars :
Point of no return😂😂
2024-06-25 06:16:37
12
user6288182810016 :
inginia ninaye mwamini ni Hersi pekee hao wengine bure kabosa
2024-08-20 03:02:10
9
INTROVERT-thoroughgood :
Any engner from MUST here 😂😂😂😂
2024-07-25 16:25:23
8
mtitu.the.don :
maaanina 🤣🤣🤣🤣
2024-06-25 08:22:12
8
nkatuzi :
can imagine makerere university has more 70year,we still buy even matchbox from china
2024-06-25 07:18:47
8
user1843269004510 :
Ma engineer hapa Kenya wanataka siasa.Hawana time na kutengeza kifaa Cho chote.
2024-08-05 13:51:04
7
Engineering.com :
Tofautisha Entrepreneurship na Engineering, unaweza uwe Engineer ila usiwe entrepreneur na unaweza ukawa entrepreneur bila kua Engineer. Ukielewa hapo post yako n meaningless
2024-06-26 04:15:00
6
N O T E C H :
nimeelewa l'm going to make something
2024-06-25 09:43:26
5
user9334904479499 :
mfumo wetu wa elimu ndiyo tatizo tusiwalaumu wasomi kwanza 😃😃😃😃😃
2024-06-25 13:34:50
4
PONTEHXY :
kwani kuna shdo;;; waachee maengineer wetu wale bato😃😃😄🤣🤣🤣
2024-06-26 18:24:13
4
(👁️👃👁️) :
Sasa Engineer wetu ni kina OSCA SUDI what do you expect of Kenya????☺️🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2024-08-01 17:32:27
4
pine🥰 :
Jiheshimu😂😂😂😂💔
2024-06-25 04:53:37
4
RHIWAJ 🎶 🎹🎬🎙️🇰🇪💎🇹🇿 :
Ma engineer wote wako politics ,,, engineer ni minister of finance 🤣🤣🤣 engineer ni mp wa constituency na anapeloa gari yake garage
2024-06-26 10:34:05
4
Ngosha :
Kakanyange mafuta kwa Mwaposa🤣🤣🤣🥹😄🤨🇹🇿 hahaha
2024-06-25 11:49:38
3
BIN SEIF18 :
maengineer nao wanabet mtaani kama sisi 🤣🤣
2024-06-26 21:06:30
3
️RONY :
ukisikiliza budget ya kumtengeneza Eunice doli lile ndo utalia😁
2024-07-03 12:25:16
3
Rugwili technician :
🤣🤣 Mimi engineer nacheka tu
2024-09-06 10:21:41
3
Mirabel~💕🤍💦 :
Mainjinia wanazima moto lecture 12 zenye slides 250 sasa kunakazi hapo 🤔😂
2024-06-25 13:43:26
3
💲💎$TËV£💎💲 :
woteee ni ukarabati😂
2024-06-25 21:04:20
3
Jj🇹🇿🌸 :
Dah
2024-06-24 16:10:54
3
Credo__01 :
Hakuna cha kulaumu watu wanasoma theory tu hakuna practical….😌
2024-06-26 05:21:09
3
Mwanish :
I have been always saying, tuko na watu wamesoma lakini hawajui kitu chochote
2024-08-05 19:10:05
3
Millennium :
That’s true 😁
2024-06-25 06:48:58
3
jacob :
point of no return 😏
2024-06-25 06:33:10
3
Raya abuba :
ukarabati wa simu haiwaki😅😅
2024-06-26 12:08:00
2
BBM437 :
sitaki kusema kitu mm nimoja wao naona kama ananisema tu
2024-06-26 23:09:31
2
Gordon Samwel :
😂😂😂
2024-06-27 14:58:37
2
Rayana's cakes :
Ruto must go
2024-06-26 10:20:54
2
zuwenasaid :
😁😁😁 tunawaita fundi viraka
2024-06-28 05:40:01
2
muya.tz :
sure 💯💯💯
2024-07-05 20:39:49
2
BONTOWN :
🤣🤣🤣🤣mamae kama mazuri ila ukweli wa kweli huu
2024-07-22 20:43:24
2
lastborn Farm :
Sasa hawa wafugaji wetu akiingia bandani anatoka na nusu tray mashine ya nini😂😂😂
2024-07-23 11:54:26
2
user2831481651766,A2z :
hapaa kwetuu kila mmojaa anajiangariaa mwenyeweee,,,
2024-07-24 18:07:39
2
nguvu moja :
Unafikisha ujumbe lkn watu wanafikiri unachekesha watu ni wapuuzi sana