@mr_othman_tz: 𝙽𝚈𝚄𝙼𝙰 𝚈𝙰 𝙿𝙰𝚉𝙸𝙰 𝙺𝚄𝙽𝙰 𝙼𝙴𝙽𝙶𝙸

MR.Othman_tz📢
MR.Othman_tz📢
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 25 June 2024 10:55:02 GMT
58305
1776
34
318

Music

Download

Comments

baby.mully
hazsam abaya :
sema wanaume hawana imani na ss ndo ukambiwa majumba yastiri mambo
2024-06-27 20:44:00
8
_ladies_world
Mammy 💖 :
Sio wote wanaenda kudanga wengine wanatoka kwa sababu ya mambo ya mwanamme 😒
2024-07-01 05:23:59
1
user4734997537684
user4734997537684 :
ni kweli shehe kuna changamoto nyingi sana wasizozijuwa
2024-06-28 11:27:23
7
edwin.okeyo0
Edwin Okeyo :
mwanamke akiachika kwenye ndoa ya kwanza hawezi hawezi vumilia ndoa nyingine ukiona amedumu kwenye ndoa nyingine ujue Huyo mwanamme ameamua kum vumilia
2024-06-25 13:56:54
2
user78758868najlak
najlak :
Heeeeheeeeeeheee
2024-06-25 11:06:56
1
brinasan4
brinasam :
allahu ahlam ndoa ni ibada na syo mazowea
2024-06-28 17:38:39
2
elpaciente26
SALUM :
Akidai apewe tu , tafuta mwengine
2024-09-10 08:45:27
1
hadija57915
didah :
wengine hatuwez vumilia dramas coz mengine kama haujazoea uwez vumilia
2024-06-28 14:58:59
3
nongwa49
nongwa :
kweli na tulotoka kwenye ndoa wote hatutamani tena Bora kuuza bar
2024-08-25 05:15:31
1
niss471
user641847401443 :
🙏🙏🙏🙏Kwl kabisa
2024-07-24 17:30:38
1
rajed_30
@Ramadhan_30 :
kabisa 🙏🙏
2024-07-01 08:41:22
1
najmaali125
najmaali125 :
Subhanallah
2024-09-04 12:12:42
1
mkola.m
mkola :
true
2024-07-11 11:35:46
0
maimunahasanisima
Maimuna Hasani Simai :
mm nishadai mpaka nishachoka na sipewi nimechoka kwa kweli
2024-09-12 21:48:23
0
user1199651973915
user1199651973915 :
kwa kweli 🥰🥰🥰
2024-09-09 19:32:29
0
madambaby_46
Madam baby :
unaeza kutoka kwenye ndoa kwasababu ya matharau..hio ni kweli ustath wangu 🥰🥰
2024-06-30 20:19:24
0
cutefarheen27
Khadija Ramadhan👀 :
Ni sahihii
2024-08-04 11:25:25
0
edwin.okeyo0
Edwin Okeyo :
mwanamke mwenye busara hatoki kwenye ndoa lands mumewake awemchawi
2024-06-25 13:59:14
3
salum.defu
Salum Defu :
Swadakta
2024-07-13 03:43:26
0
muneabdull4
muneabdull :
ni kweli
2024-07-01 05:18:23
0
aysha05304
Sweet soul :
Sante sheikh
2024-07-07 17:55:10
0
muniraabas
muniraabas :
wallah kabisaaaaqa
2024-07-06 19:13:55
0
musamusifiwa19
Musa musifiwa :
🤲🏽🤲🏿🤲🏼🤲
2024-06-25 11:00:34
2
salmakafani
mimmah :
huyu hustadh namfagilia sana
2024-06-29 14:59:59
1
edwin.okeyo0
Edwin Okeyo :
Wooten wanaotoka kwenye ndoa wanaenda kuuza baa au kudanga hata ungempa mini lazima atoke
2024-06-25 14:01:16
3
fatma61593
fatma :
hee kumbe hunijui ninasema lkn simaanishi🤣🤣🤣
2024-07-01 17:50:16
0
mamathaynat3
mamathaynat :
hakika
2024-07-06 07:01:10
0
To see more videos from user @mr_othman_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About