@dullahmihuri: ALIENGUKA CHOONI Mfanyie hivi haraka, utamuokoa inshallah.tanzania #foryoupage #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #zanzibar

dullahmihuri
dullahmihuri
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 June 2024 08:58:16 GMT
1109320
39059
1624
8308

Music

Download

Comments

userprincessdalii
Haleemah🦋❤️ :
Niliteleza choon,mguu ukafika had kwa sink..nikaangukia matako😂😂😂half ni ugenini..Alhamdulillah skupata madhara yoyte🙏
2024-06-28 17:17:06
97
user9307938881584
user9307938881584 :
nimempoteza mama angu leo ..juzi tuu kaanguka chooni leo tumezika😭😭😭😭😭R.I.P mama
2024-06-30 14:32:35
86
riri_rishat
irish_princess :
my cousin died after falling in the toilet,I wish we knew this 😭
2024-06-28 14:58:26
65
patrickrobert160
Patrick Mackey :
maji ya chooni uweka mdomoni broo 🙄🙄
2024-06-27 20:14:00
17
femajr__
Murphey__ :
Ameeen🙏🙏 shukran
2024-06-28 07:48:22
14
magrein1
zanaki queen👸 :
Mm nilianguka ilikuwa 25dezemba 2022 kama sikosei niliugua mwaka mzima yaani hadi nilifanyiwa op🥺....niliambiwa nitakufa lakini MUNGU alinitete now bado nadunda mu YESU
2024-06-27 20:29:59
75
sadamsadilu_son
Sadilu Century Son :
Ikifeli jiandae kuitwa mchawi😭
2024-06-29 08:27:24
37
mahvesh
mahvesh :
kukiwa hakuna maji unafanyaje sasa
2024-06-28 06:23:32
14
edna_sanka
edna_sanka99 :
Me niliwahi ila walinipaka ule uchafu na tishu nikawa kama nataka kupooza ila nilikaa sawa 🙏🙏
2024-06-28 17:53:44
5
christophermponji
DAR ZONE TV :
hizi ni story tu za kishirikina watu tunaomuamini Mungu hakuna kitu kama hiki huu ni uchawi...Mimi nimeshaanguka chooni zaidi ya mara Tano na sifanyi hayo mambo na nipo mpaka Leo mpk kesho.Tumuamin Mu
2024-07-05 19:58:20
7
hawamaulid47
Hawa🍀 2 :
huwa naanguka sana walah hasa nikiwa mjamzito
2024-06-30 08:08:45
10
atque_
atque :
mm nilianguka na amna kilicho tokea
2024-06-30 04:00:37
7
user9117656381800
.. :
Kaanguka chooni mara mia go direct to the point
2024-07-07 11:32:32
5
mwemezirutta3
mwemezirutta3 :
Lakin lazima ufe tu
2024-06-30 13:58:55
6
floramaile1
floramaile1 :
je kama ni ww mwenyewe na uko peke ako unafanyaje
2024-06-28 08:07:25
11
babajohn15
Hunter boy :
Ikiwa ndo nimeanguka nitajisaidiaje kupuliza hayo maji
2024-06-29 12:33:45
9
gasper.andrea50manu
manu :
kuna mtu kanguka muda mrefu hatukujua dawa hii
2024-06-27 10:47:39
8
userprincessdalii
Haleemah🦋❤️ :
Akiangukia matako je
2024-06-28 17:14:47
6
linnahmwollo
Linnah Mwollo :
Asante
2024-06-28 10:55:45
8
lameckmethusella2
Lameck Methusellah Luhaga :
thank you
2024-06-30 15:34:29
5
mima.pasi
Mima pasi :
thank you bro
2024-06-28 05:16:37
5
mariamaloba5
user9421461047472 :
Asante
2024-06-28 18:54:33
7
user611156219105
naira :
kuanguka kwa kuteleza au kizunguzungu, au mpaka uzimie usindwe kunyanyuka au?
2024-06-30 08:20:28
0
eddysrnamiyuya
Eddy Sr. Namiyuya :
Dkt.hii kweli niliwahi kuona kwa rafiki yangu Afande Emma alivyodondoka walimfanzia kama ayo amepona na yupo vzr
2024-07-01 07:08:44
3
jumamagaya
jumamagaya :
AllahhuAkibar Me bimkubwa wangu kadondoka Jumatano Usiku Kuamkia Alhamis usiku wa Ijumaa Kuamkia jumamos Amefariki Alhamdulillah Na hii Elimu Naipata Leo Jumatatu 🙏🙏 🕊️🕊️🕊️🕊️
2024-07-01 06:08:37
2
To see more videos from user @dullahmihuri, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About