@highgriptokyo: RX7 × Feel Me #rx7 #fd3s #JDM #ハイグリップトーキョー #drift @bell angel

HIGH GRIP TOKYO
HIGH GRIP TOKYO
Open In TikTok:
Region: JP
Thursday 27 June 2024 11:40:21 GMT
86150
9101
24
208

Music

Download

Comments

iambanks_tt
iambanks :
Impressive 💖
2024-07-13 14:36:40
2
davirodriguesdeol4
davirodriguesdeol4 :
music name?
2024-11-25 23:39:34
0
b16a_ef9
𝕸𝖔𝕹𝖘𝕿𝖖𝖗-_𝕭𝟏𝟔𝖆_-🟩🐍 :
これるいさんのfd!?
2024-06-29 00:43:17
2
dyqc2egkcgj4
GENO33 :
まじでるいさんのmarlboroRX7かっこいい‼️
2024-06-27 12:31:54
1
chumbuds_rx7fd3s
ちきん🦈🔱 :
るいさんのFDだ!🥰
2024-06-29 17:43:44
0
eleven6752
မုဒုံသား ♠️ 🖤 ♠️ 🖤 :
🥰🥰🥰
2024-07-20 12:13:48
1
gayandhanushka6
Gayan Dhanushka :
😍😍❤️
2024-07-16 09:38:09
1
jeromexavere
JeromeXavere :
🤩😎😎✨✨✨💯
2024-07-15 21:59:37
1
jay.z.corral
KALMADO :
🥰🥰🥰
2024-07-12 13:15:20
0
kurisu_kasutoro
𝕿𝖍𝖊 𝕶𝖓𝖎𝖌𝖍𝖙𝖒𝖆𝖗𝖊 :
🥰🥰🥰
2024-07-08 10:39:08
0
briannuhuh00
Người vui vẻ tim sứt mẻ :
@Duy Phạm @Stormyyy
2024-09-08 18:32:20
2
ae_edm
ae_edm 🌈🎏⚽️ :
❤️❤️❤️
2024-09-24 06:08:21
1
enjanghermawan10
. :
🥰
2024-09-15 02:37:57
1
user123514945
Aon :
♥️♥️♥️♥️
2024-09-06 05:29:21
1
alfaherdiansyah
ALFA :
🔥🔥🔥
2024-08-08 12:52:41
1
arifkhairul108
jeneng :
🔥🔥🔥
2024-07-29 17:20:08
1
nan40069
นันทณีขายดี999 :
❤️❤️❤️
2024-07-29 16:53:52
1
sn.110200
SN⚡️ :
🔥🔥🔥
2024-07-18 03:33:10
1
leondagilar
Leon1966 :
🥰🥰🥰
2024-09-16 17:19:15
0
bangheem95
💫محمد صالحين :
🥰🥰😇
2024-08-20 15:56:31
0
cyrushh
Cyrushh :
🔥🔥🔥
2024-07-08 12:06:57
0
user123514945
Aon :
🥰🥰🥰🥰
2024-09-06 05:29:23
1
babozu
Babozu :
very beautiful 🥰
2024-08-16 01:07:57
1
To see more videos from user @highgriptokyo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Mtume wa Kanisa la ECG Tanzania, Dionis Mtalemwa, anayehudumu chini ya Nabii Shepherd Bushiri maarufu kama Major 1, ametoa tahadhari ya kinabii kwa vilabu vya Simba na Yanga, akisema huenda vikakumbwa na migogoro ya ndani ikiwa havitatulia. Akihubiri Jumapili, Novemba 24, 2024, katika kanisa lake lililopo Makongo Juu, Mtume Mtalemwa alisema migogoro hiyo inaweza kuathiri mwenendo wa vilabu hivyo, hasa kwenye michuano ya kimataifa ya CAF Champions League na CAF Confederation Cup. “Vilabu vya Simba na Yanga vinapaswa kuacha migogoro ya ndani. Hivi karibuni, vilabu hivi vitaanza kusuguana wao kwa wao ndani ya timu. Kama hawatatulia, timu moja haitafika mbali, hata hatua ya makundi,” alisema Mtume huyo. Mtume Mtalemwa aliweka wazi kuwa mshikamano ndani ya timu unaweza kupelekea moja ya vilabu hivyo kufanikisha safari ndefu kwenye michuano hiyo ya Afrika. Kauli hiyo inakuja wakati Yanga ikiwa imeanza vibaya kampeni za Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 2-0 na Al Hilal ya Sudan katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, kwenye mchezo wa kundi A. Kwa upande mwingine, Simba imeanza kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Bravos ya Angola katika Kombe la Shirikisho barani Afrika, mchezo uliofanyika katika uwanja huo huo, na sasa ina alama tatu kibindoni. Mtume huyo si mgeni wa maono makubwa. Julai mwaka huu, alitabiri kuporomoka kwa jengo Kariakoo, jambo ambalo lilitokea Novemba 16, 2024, na kusababisha vifo vya watu 29 huku wengine zaidi ya 80 wakiokolewa wakiwa majeruhi. Tathmini ya matokeo ya Simba na Yanga kwenye michuano ya Afrika inaonyesha umuhimu wa vilabu hivyo kufanyia kazi ushauri huo wa kinabii, ili kuimarisha utulivu na kufanikisha malengo yao ya kimataifa. #simba #yangasc #viralvideos

About