i don't understand swahili vizuri lakini i like him
2024-07-21 12:54:49
0
@jegoz :
you made my morning
2024-07-21 01:30:46
0
Cphine Sonic :
🤣🤣🤣🤣wachungaji wote wangekua km huyu mbinguni uhakika
2024-07-10 21:51:17
61
Lizzy chuma.praygog :
kanisa lake liko wapi
2024-07-20 08:09:58
18
#sammy\\.com :
huyu ni kama ujombani kwake ni Kenya haikosi🤣🤣🤣
2024-07-20 19:24:54
12
swaum mapunda :
mm ni muislamu ila uyu baba nimempemda bule na maubili yak aki amung unaend kanisan na mawazo yak ukifik tu kanisan ukimkuta uyu mchungaj mawaz yote yameondok upew ulinz baba angu🥰
2024-07-27 07:59:09
13
benson kiplagat :
Uwanja wa horizontal ni gani sasa😂😂😂😂
2024-07-13 07:04:01
7
abuujabir23 :
E mwenyezi mungu mpe maisha malefu huyu mzee
2024-07-05 05:19:24
21
Keiynan Abuti Shibona :
huyu atakuja kuniua
2024-06-28 15:00:57
19
slvia :
😂😂😂mlima wakilimanjaro 😂😂😂😂
2024-07-19 16:53:44
11
Tyson Deo :
EH MUNGU UNANIJUA MIE KWENYE KUOMBA NAANGALIAGA HADI MIZIGO YA WATU. SIWEZI KUKUDANGANYA MUNGU NISAMEHE ILA NAJIKUTA TU MACHO HAYAFUNGI. KAMA JANA YULE MWEKAHAZINA DAH . NISAMEHE TATE
2024-07-19 11:42:28
9
Hidaya Karamata :
Mafunzo yako no mazuri sana
2024-07-08 16:29:42
9
Ninahbabe-----399 :
hapo kwenye mbu uwiii🤣🤣🤣
2024-07-06 20:50:30
9
Cnt@girl :
mmmh utengwee uwekew na ulinzi😄
2024-07-19 19:45:58
6
sam musyoka :
😂😂😂😂😂😂😂aki utanifuja bavu
2024-07-19 09:57:48
5
To see more videos from user @sandeorise20, please go to the Tikwm
homepage.