huyu msanii hapa hana fanya shoo au hanautubia mkutano
2024-06-30 19:09:56
1
samira🥀 :
Hii nyimbo inaishi moyoni mwangu sikuzote naipenda🔥🔥
2024-06-28 22:10:11
20
leilah baby :
my favorite songs❤️❤️
2024-06-29 21:36:08
19
jackline :
jina la huu wimbo
2024-06-28 17:32:54
2
Zuhura auma254🇰🇪🇰🇪🇲🇴🇲🇴 :
𝑁𝑖𝑐𝑒 𝑏𝑟𝑜 🥰🥰 𝑖𝑛𝑎𝑖𝑡𝑤𝑎 𝑎𝑗𝑒 𝑝𝑙𝑧
2024-06-28 23:50:39
0
fershbby :
🥰🥰nyimbo naipenda hiii
2024-07-01 17:52:34
6
Neema na Vitambj :
Kwer zamani kulikuwa nawaimbaji 🥰🥰🥰🥰🥰
2024-06-29 21:36:02
7
Cute Nicely# :
wow old is gold🥰🥰🥰
2024-06-28 20:35:54
6
baby Cindy :
huwa napenda sana hii nyimbo ❤️❤️
2024-06-28 22:10:23
4
officialnajma2 :
oya wee hii nyimbo ndo ilinifanya nianze kufanya mapenz nilikuwaga siielew yaan saut yake na iliyo nilikuwaga najua niyamapenz kumbe niyakulilia mpenz aloondoka🤣🤣🤣
2024-06-29 10:39:07
1
CLASSIC BOUY :
Bonge la ngoma naipenda Hii mpka nacry that's reality in my life imenitouch kwa namna moja ama nyingine... Tulioumizwa tupatane hapa😢
2024-08-02 06:18:24
2
hemedibrahiim :
kama mmeiskia saut ya ali kiba. hiii
2024-08-18 11:04:21
1
Sada :
wasanii wa zamani walikua wanaimba bhana 👏👏🤝
2024-09-24 11:36:24
1
Recho ray :
kizunguzungu umenikumbusha mbali sn mwanzo wamausiano yangu na baba mtoto wàngu 😂😂😂
2024-09-07 12:49:01
1
@Char's Jr :
Abdu kiba🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2024-06-29 03:39:16
1
Cheketua💜 :
mama yenu alikua kuzaa wakaka wazuri hakika
2025-10-25 00:45:59
1
gloly_songea :
unajua broo naipenda sana hii ngoma 🥰🥰😜
2024-06-28 17:44:58
9
Tish...Tinda :
my favourite verse eeeeeeiiih🥰🥰🥰🥰
2024-07-02 11:05:07
3
mwanakombo31 :
nice song 🔥💪
2024-06-29 12:52:29
4
🎀Ah.....sh🎀 :
My favorite song 🥰
2024-06-29 17:09:20
4
Mrs Kelvin@🥰💞🤍♥️ :
Fire 🔥 💯
2024-08-19 22:38:59
1
Naomie♉️🎀 :
name please
2024-07-01 18:29:14
3
noreen mwinamo Lee :
kizunguzungu cha mapenzi😂
2024-06-29 08:28:54
2
To see more videos from user @mbukio_lyrcs, please go to the Tikwm
homepage.