@mamikim.academy: Biashara ya Spice, paste and pilipili ni rahisi sana kuanza na inahitaji mtaji kidogo sana. Ndani ya darasa letu tutakuelekeza biashara nzima ya spice,paste na pilipili, wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. #tiktokkenya #tiktoktanzania🇹🇿 #food #biashara #spices
Mamikim Academy
Region: TZ
Sunday 30 June 2024 11:12:11 GMT
Music
Download
Comments
Mrs david :
Jamn me mgeni tiktok hii ofa bado ipo??🥺🥺🥺
2026-05-22 15:36:21
0
brenda william :
Naomb kujifunza mmy
2026-03-01 10:05:05
0
Queen Mboya :
jaman darasa bado lipo
2026-02-27 12:40:41
0
Joan Catherine :
hasa hizo paste na pilipili nahitaji sana je darasa ni lini la online
2024-07-01 11:45:24
4
Felistar Shayo :
darasa naweza kujiunga kwa ss
2025-08-29 11:53:33
0
Adieli :
darasa bado lipo nahitaji
2025-05-30 08:23:23
0
Asia Ally :
nataka kujifundisha
2024-07-19 14:26:12
0
Fatma muhamed :
Nataka kujiunga darasa
2024-06-30 14:14:39
1
Bremabo cake's & bites :
my dear darasa online bei gani
2025-04-06 12:15:12
1
pradriel05 :
Naomba kujiungaa
2024-06-30 15:23:49
1
Amina :
darasa hili bado lipo?
2024-07-18 13:44:50
0
user1312873557752 :
mimi nataka kujiunga lakin nko kenya
2024-07-19 20:33:39
0
Mk_keepitholy :
Mmi nataka kuji unga please 🙏 🥰
2024-07-21 00:07:44
0
@nashuu_collection :
na inachukua mda Gani kuharibika?
2024-07-01 16:15:50
2
Aysha :
nataka kujiunga na darasa
2024-07-09 07:49:12
0
mrs muktary ❤️💍🔐🔨 :
Bad mamy lipo name nahitaji
2025-06-23 11:56:20
0
fidu collection :
30000 ni ngapi pesa za keny
2024-07-03 05:26:30
1
amnebeauty :
Idea ya mtaani nimeipenda 🥰
2025-08-30 05:39:17
1
kimlyne853 :
Sodium benzoet ina kaharuf haitosikika kweny pilipil kwel
2025-08-28 08:49:29
0
God is Able :
Training ni siku ngapi?na inaanza lini?
2024-06-30 20:09:08
1
house_nour :
bei gan darasa
2024-08-03 12:46:08
0
malizy :
nami nahitaji darasa dia nakupataje au darasa linakua online?
2024-07-05 05:18:49
0
use Nasrian tiliya :
Nataka namimi kujifunza hii biasha nimekaa tu nyumban sina kazi
2024-07-31 09:19:05
0
Rey beauty :
Namm nataman kujifunza
2024-08-09 08:34:41
0
zerry_0 :
nataka pia ila mwezi wa 8
2024-07-01 07:25:12
1
To see more videos from user @mamikim.academy, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.