@drhusseyn: ⏳ Kujua Muda Sahihi wa Kutoa Nyuzi Baada ya C-Section! 🤰🏽✨ Kutoa nyuzi baada ya upasuaji wa kujifungua (C-section) ni hatua muhimu katika kupona vizuri. Kwa kawaida, nyuzi za ngozi huondolewa kati ya siku 7 hadi 10 baada ya upasuaji. Hii inategemea kasi ya kupona kwa jeraha na ushauri wa daktari. Kumbuka Kufuatilia Miadi Yako ya Matibabu ili Kuhakikisha Kupona Kwa Usalama. ❤️👶🏽#pageforyou_🔥 #fyppppppppppppppppppppppp #husseynafya
Mmh mungu tulinde sana sie wanawake , Nina kidonda kibich Nashukur uzi wang siowakutoa
2024-06-30 18:48:07
5
maureenswai :
nimeogopa mpak natetemeka 😞😞😞😞
2024-06-30 19:35:17
2
Mercy Spark :
Doctor naomba nisaidie ni njia gan ya kutunza kidonda cha operation kisipate maambukizi
2024-08-27 19:44:53
1
Malema♡♡♡ :
sikuizi hawatoi bwana
2024-07-01 07:10:36
0
cautharally943 :
wanawake tunapitia machungu huwa nawazaga kutoa nyuziii inauma nasikiaga mpk kizunguzungu na kichefu chefu😭😭
2024-06-30 22:28:07
0
ummy098 :
pls naomba unisIdie kunibu suala langu jee kama umevunja chupa na huumwi na uchungu njia hazifunguki inasababishwa na nn?
2024-06-30 23:11:48
0
Rinah :
dr naomba unijibu mimi nilienda kutoa nyuzi ikawa inagoma kuvuta ikakatika wakaniambia nirudi baada ya siku3 kurudi uzi ukawa umerudi ndani@
2024-06-30 16:39:57
1
Jammy :
nashukuru mungu haukuwa akutoa
2024-06-30 20:00:47
0
fai :
naomba kuuliza kama ujifungua kwa njia ya upasuaji unatakiwa ukae kwa muda gn ndo ukutane na baba chanja
2024-07-01 19:32:15
0
maggie kimario♥️♥️ :
Na mshukuru mungu sikushonwa za kutoa jamn
2024-07-02 18:22:41
0
mokhan salim :
mm nimeshonwa na nyuzi za kuyeyuka ila leo ya 17 zimebaki 2 hazijatok hdi leo sjui nifanyeje
2024-07-01 10:48:58
0
sashil :
dk mm nimemzaba mtoto wangu 2023 na operation lakini mpaka leo nnauzi mmoja nauona na kuushika ila siumiii jee hakuna shida zengine zilitolewa hii ndio ikabakii