@homeboy4068: Moja ya Bongo Movies 🎬 kali ya action MISUKOSUKO by insp.J plus. #foryou #tiktoktanzania🇹🇿 #bongomovies #viral #tanzania🇹🇿 #zanzibar #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #fyppppppppppppppppppppppp #daresalam #bongo

Homeboy tz🇹🇿
Homeboy tz🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 June 2024 17:13:58 GMT
622584
20708
609
659

Music

Download

Comments

zamaqshaqshamsudin
Zamaqshaq shamsudin :
They made our childhood aseee much appreciate kwa hawa watu
2024-08-19 16:55:22
16
user9212946543228
honestry :
kwani uyu yupo jaman
2026-06-22 10:25:23
1
gift00143
Bright Lady :
Seba na jplus ndan ya Misukosuko bongo movie
2024-08-06 21:25:01
24
jose.palakas
Jose Palakas :
daar watoto wa 2000 watu ache
2024-08-28 08:26:10
8
user3688662630788
layla22 :
Niko darasa la 5 usiku natoroka nyumbni naenda kuangalia banda la video nalipia Mia mbili 😂😂😂😂
2024-09-13 13:53:25
8
mp47official
THE MAGIC DRIVER :
Kama kunamtu aliangaliaga hii na bado yupo kwa wazazi aondoke harakaaaa
2024-08-28 19:25:26
7
user4730563940878
Sure BOYS :
kipindi hicho baba angu ndo alikua na TV Kijiji kizima wanakuja kuangalia misukosuko daaahh!! kitambo sana😳😳😳😳
2024-09-13 05:41:34
5
husney30
husney30 :
J + 🔥🔥🔥
2024-09-16 12:18:50
1
user6333883385311
KB9 :
j aime inspecta depuis mon enfance
2024-08-17 17:50:51
3
kevinmc198
Kevin Mc :
tuna waitaji kwenye industry
2024-09-17 20:26:05
2
florencemwaka19
florencemwaka19 :
j plus
2024-08-23 10:48:14
3
user9402927119125
Miriam petro :
jaman hawa watu waliendagaa wapi 🙆🙆
2024-08-22 16:57:28
1
justergaudin
Juster Gaudin :
Wamepotea Aiseeh
2024-09-16 18:52:12
1
eliabihund
Elly :
kuna ka feeling kanatak nika angalie movie zao ten🤣🤣
2024-09-13 17:50:42
1
shuby.bakama
shuby bakama :
🥰🥰🥰enz zetu
2024-08-26 21:05:01
1
fadhilmyombe726
Fadhil Myombe :
jaman wako wap hawa kitamb san
2024-09-14 17:26:18
1
ivon.chaz
Ivon Chaz :
ata mm nimewakumbuk.sn jmn
2024-09-18 20:18:52
1
user5919156198426
user5919156198426 :
nyie w2 balaa.mpo kwel
2024-09-11 20:52:43
1
barakamanyanya409
Baraka :
jaman seba namkubali
2024-09-14 18:29:29
1
abdulyally815
Dundeee 4 boys :
awa watu mo wakali
2024-09-03 18:25:17
1
user6755193984823ally
MA🍀🍀 MGWANI🤍🦋🌸🦋🦋🦋 :
sanaa
2024-11-18 02:42:36
1
martinmayangafayulu
martinmayangafayu :
napenda iyi filamu toka Congo Kinshasa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💗🙏💯💗🙏💯💯💯💯💯💯💯💯
2024-09-18 11:01:56
1
kaughaaaaa
first born :
watoto wa ef mbil hawaweZ elewa
2024-09-13 18:24:16
1
brastus1503.com
introvert boy :
enzi nlikuw kipii cha shule ya msingi dah 🙄🥺🤔
2024-09-16 17:48:21
2
eduardomoises950
Eduardo Moises :
bado tunasubiri mambo manzuri toka kwenu,nawakpenda sana Jrc AND Sb Mozambique 🇲🇿 yote tunawpenda sana
2024-09-13 09:21:13
2
To see more videos from user @homeboy4068, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About