@drboazmkumbomd:

Dr Kitundu Boaz
Dr Kitundu Boaz
Open In TikTok:
Region: ZA
Tuesday 02 July 2024 20:16:59 GMT
234543
5627
168
823

Music

Download

Comments

nafuetmtaita
nafuetmtaita :
asante nimejifunza kitu🙏👌
2024-07-20 10:55:33
0
user1681308730814
MAGUZU MARDADI :
achen uongo kuna baba yangu anakunywa gongo tangu nilipo kuwa nazaliwa leo ni miaka 30 na ninaambiwa kaanza kunywa tangu kipindi cha ujana wake uongoo
2024-07-11 21:14:12
0
husseintarzan
Hussein :
hiyo cc in pure alcohol au % ya alcohol kwenye beer au spirit mfano konyagi chupa ya cc 700 alcohol ni 35% mtu inabidi anywe cc ngapi kwa siku????
2024-07-03 08:27:40
14
calvin.exaud
Kevo :
muongo uyo watu wanakunywa Zaid ya miaka 50 na bado wanishi achen kutudanganya kwendraaaaaaaaa
2024-07-03 14:53:35
9
pricey_melisa
LisaJN🌹 :
huo ushauri ungetushauri jumatatu..leo tushaharibu ini 😂😂
2024-07-05 22:03:09
7
richard.gakutwa
Richard 🇹🇿 :
hapa walevi hawakuelewi kabisa😂
2024-07-03 06:22:54
6
kakad058
kakad058 :
wewe Doctor una kujakuja educated 👍
2024-07-04 11:53:30
3
p_escober
Escobar007 :
huo uongo mnapata wap tumeishi Germany 🇩🇪 na 🇷🇺 uliza kiasi wanachokunywa huko sisi tunaonja tu huku
2024-07-03 14:28:51
2
user28634205149842
user28634205149842 :
asante,minajali, afyayangu,sana,
2024-07-03 08:56:29
2
ahmedy_sharja
ahmedy seif :
Ivi pombe na soda kipi hatari zaid ??
2024-07-05 19:27:31
2
user6573222231095
peter godfrey :
kufa kupo tu bhn pombe ndo next level🤣🤣🤣
2024-07-06 13:48:00
1
wile582
Williams :
msituchanganye bana hivyo tunywe nini maana nasikia nginja nginja inakuja😅
2024-07-06 18:25:23
1
makaveli_2025
paul makaveri :
mbona nyie ambao hamnywi ndio mnamaradhi ya kutosha😅
2024-07-07 08:24:11
1
lyricvibe_3
🎵 :
Pombe imeshindwa kurundika Mafuta kwenye chupa yake,itaweza kwenye ini bhanaaa?
2024-07-04 20:30:08
1
rojamo40
user9334904479499 :
Ndio maana kisukari kinawatafuna sana hasa walevi
2024-07-04 19:54:00
1
mkwasib
MKWASI🧢 :
pombe imeshindwa kupasua chupa ije iharibu ini Wacha pombe iniue sio lazima wote tufike uzee😂😂
2024-07-04 19:29:09
1
stiba.nyasi
Stiba Nyasi :
good doctor
2024-07-04 09:03:05
1
prince_ujazo
ALVIN J.J 🗽 :
swali pombe kutoka kwenye tumbo mpaka kwenye ini inchukua mda gani
2024-07-04 07:58:08
1
jrasheed60
J Rasheed cosmas :
Vp kuhusu madaktari wenzio walevi..?
2024-07-26 11:13:01
1
user5050555211925
MariaAntony :
tumeishaaa😆😆
2024-07-06 07:53:34
1
theblackcapp
️ :
Dr Janabi yeye alisema mls 330 kwa beer ndani ya saa moja na 50 mls kwa pombe kali. Then ipi taarifa sahihi
2024-07-03 13:51:00
1
maninhocassamo
Big Maninho :
sasa hizi energy Azam vipi ? azina tatizo????
2024-07-03 05:15:16
1
fella613
FELLA :
Sasa fungeni viwanda vya pombe
2024-07-03 08:40:29
1
jr.wizardxp
Nebuchadnezzar :
umeshindwa tafuta chango ya malaria ambayo inaua watu wengi unaoambana na pombe 🚮🚮🚮🚮🚮
2024-07-03 09:30:11
1
mrseth171
MrSeth. :
unaongelea alcohol content au volume
2024-07-07 08:59:06
0
alone.chimakeke.fa
alone 🤐🔥 chimakeke familly🔥 :
mafuta yakizidi tuna kunywa konyago ndokingi ya mafuto ☺️
2024-07-08 18:32:13
0
user3342618428842
user3342618428842 :
je chai inakupeleka wap
2024-07-08 18:30:51
0
frankwilliam966
Baba Nairo :
Uongo .Watu nawajua wanakunywa pombe kupindukia toka nipo mdogo ..nw nina 30+ Years .Wapo wanaishi
2024-07-08 06:50:20
0
nass_shilla
Nass Twin :
Umeshawahi kunywa???
2024-07-07 19:07:47
0
jaywarhymes255
J :
Walevi watauliza pombe na soda kipi kinaumiza
2024-07-07 17:27:44
0
patriciakissima
Patricia Kissima :
sasa mie nnaekunywa kvant kubwa peke angu inakuaje😌😌
2024-07-07 17:13:19
0
kgothalo.vanessa
Vanessa Godfrey :
wai kifo kipo tu bhana😆mnatuchosha
2024-07-07 16:44:03
0
mcadimber
Mca-Dimber :
new syllabus... ya mwaka huu in linatakiwa lifanye kazi yake kama mdomo
2024-09-12 10:29:05
0
useriwi0ljg7um
😂husband snatcher🍻 :
milizii
2024-09-12 16:08:27
0
livingdonath
living de oisso :
nakunyw had kieleweke
2024-07-07 15:45:52
0
jastinetheobard
jastinetheobard :
nakupata lecture wangu
2024-07-07 09:40:05
0
user8150932749137
nandi :
sor naweza kupata mawasiliano yko
2024-09-04 09:54:01
0
chimamaog162
Chimama🥰❤️ :
Nimeacha pombe🙆‍♀️🙌🙌
2024-09-19 04:47:32
0
mtimbich
MTI MBICHI :
upo too general! mfano tu jiulize 15cc ya konyagi ni sawa na ile ya bia kwenye metabolism? sababu zote ni pombe
2024-07-07 07:39:20
0
tallick36
tallick36 :
nakurespect sana bro ulituuzia vyakura lishe father angu alitumua mpk akapona kisukari
2024-07-06 18:33:41
0
marryg..kind
marry G.. :
ilo ini linajuaje kama izo ni cc 100? 😌
2024-09-22 10:29:15
0
makaveli_38
Yooo :
Why beer umeacha kutaja huko spirit na whiskey😏
2024-07-06 14:23:28
0
kiyayamidongo
Ngosha :
duh walosoma bios wanaenjoy sana
2024-07-06 14:14:36
0
daniel.lukiko
Daniel Lukiko :
ubarkiwe
2024-09-29 06:30:53
0
sarahmnini393
Sarah Mnini393 :
kaka Dr sorry kwani pombe na soda ni kipi cheny madhara makubwa zaidi
2024-07-06 13:36:53
0
nanidogo
@nina :
exactly chief
2024-07-06 13:15:29
0
mariamfungo1
🥰♥️ :
presha ya ini inasababishwa na nn doctor unaweza kunisaidia?
2024-07-06 12:50:35
0
agness.rugembe
Agness Rugembe :
😂
2026-03-23 08:15:19
0
sirmillaotz
SirMillaoTz :
Alafu awa wataalam xaxa wanatuchosha kama wanayoyasema weng wangexhakufa ktambo. Oya nyie mbwa em acheni kututisha achen nyny muish miaka mia😃😃
2024-08-20 01:58:25
0
peterbuazo
peterbuazo :
Ujumbe mzuri asante sana.
2024-08-14 19:19:47
0
juma.monge
🔨🪚🪛✏️ :
kazi ipo kilakukicha mapya yanaibuka
2024-08-20 18:20:36
0
To see more videos from user @drboazmkumbomd, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About