@mwlemiliankatubayemo: Wanauwezo wa kuchafua jina lako ila hawana uwezo wa kuondoa Neema ya Mungu iliyoko juu yako Mke wa Potifa alifanikiwa kuchafua jina la Yusufu Nchi Nzima ila Mungu hakumruhusu mke wa Potifa aiondoe Neema iliyokuwa juu ya Yusufu Neema iliyokuwa juu ya Yusufu ilimwinua tena, ilintambulisha tena, ilimketisha na wakuu tena, ilimpa jina la sifa tena mahali pale pale alipochafuliwa Ninakuombea pamoja na kwamba wamechafua jina lako kama Mungu aliruhusu waone likichafuka, Mungu aruhusu pia waone likisafishwa tena We nyamaza tu kimya nakwambia wataona Neema ya Mungu ikikwinua tena, wataona Neema ya Mungu ikikuketisha na wakuu tena, wamechafua jina lako ila hawajaondoa Neema ya Mungu juu yako Acha Neema ikakuinue na kukutambulisha tena katika jina la Yesu

Mwl Emilian Katubaye
Mwl Emilian Katubaye
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 03 July 2024 06:53:40 GMT
414184
29461
2118
7826

Music

Download

Comments

user649992362919
user649992362919engineer :
Amina,thank you Jesus
2024-08-05 17:39:43
0
margretominde5
margretwangare428 :
Amen be blessed pastor
2024-07-03 11:34:48
24
daynapius969
daynapius969 :
Aweeeen 🙏
2024-07-04 20:13:27
9
josephinemole
josephinemole :
I receive in Jesus name amen
2024-07-03 11:23:15
14
beura.nasiai
Beura Nasiai :
🙏 AMEN,I like you man of God, be blessed
2024-07-03 08:42:42
6
user41061845345108
user41061845345108 :
amen 🙏🙏🙏 in Jesus name
2024-07-03 21:39:50
5
user5644344572239
Emmaculate 01 :
my situation but I thank God for all,am always a WINNER
2024-07-03 18:14:13
8
user62709817503120
yusuph andrea :
Amina thanks you jesus 🙏🙏🙏
2024-07-03 08:29:56
6
user79495510539802
trizah :
Amen amen amen amen and amen I receive it in the mighty name of Jesus Christ
2024-07-03 09:24:31
5
user4079353601206
user4079353601206 :
Amen Amen be blessed 🥰🥰🙏🙏
2024-07-03 11:10:33
5
bebz0700
bebz gift :
ameeen I. receive in Jesus name amen 🙏🙏🙏
2024-07-03 08:05:58
6
florencenaliaka15
Florence Naliaka159 :
thanks so much paster🙏🙏God bless you Ameen
2024-07-12 14:17:41
3
perlove1992
perlove1992 :
Amen God bless you man of GOD
2024-07-03 13:05:00
5
user2995132381958
user2995132381958 :
very true
2024-07-03 08:48:57
5
catherineerick38
catherineerick419 :
amen and amen
2024-07-03 08:35:34
5
prosperoussarah
prosperoussarah :
Amen Amen in Jesus mighty name
2024-07-03 16:12:57
2
user6020611938703
Beatrice 86@ :
amennnnnnn
2024-07-03 08:46:09
5
therealnadiab
Nadia :
Amen🙏 hallelujah🙌🙌
2024-07-03 08:48:38
5
gloriacw002
minister Gloria Praise :
🤣🤣🤣wacha tu wachoke ameen
2024-07-03 16:31:09
2
user8723728492867
user8723728492867 :
I receive it in Jesus name Amen Amen 🙏🙏🙏
2024-07-03 21:22:30
2
tiffany.wa.waither
Tiffany wa waithera :
Exactly said pastor lreceived in Jesus name Amen 🙏
2024-07-03 13:07:09
2
grolyjanuary
user2109727172898 :
AMEEN PASTOR 🙏🙏💖
2024-07-29 16:01:36
1
n04m26
@ne26mwa04 :
in jesus name Amen
2024-07-03 07:31:06
3
user5171060326683
user5171060326683 :
Ameeeen And Ameeeen,,,,,Be Blessed mutumishi wa mungu🥰🥰
2024-07-03 15:20:41
2
natashnabwire
natashnabwire :
hallelujah
2024-07-31 11:09:16
1
To see more videos from user @mwlemiliankatubayemo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About