@simukitaa: #simukitaa #sanukakitaani #ijuesimuyako

Simukitaa
Simukitaa
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 04 July 2024 10:48:28 GMT
629823
18487
395
1498

Music

Download

Comments

mrpengo2
user85804473194 :
Hy tunaijua kaka mpka ya kufunga sms kama unadem msumbufu afu uko na wife piga *35*0000*16# akuna sms itakayo ingia mpka utakapo itoa
2024-07-07 21:21:36
21
elizajustine325
elizajustine325 :
kuna nyingine hii nayotumiaga hii ni kwel *21*0635895327# hapo kwenye namba ya cmu unaingiza ya mtu yoyote ambayo ipo kwa cmu yako kutoa #002#
2024-08-04 07:34:14
16
kitwanakondo3
DARKNESS :
nyie uyo jamaa kawa zuga tu iyo kodi sio sahihi na aipo ndo maana inakataaa aipo iyo code
2024-07-05 13:32:22
11
leila.weed7
Leila🇹🇿🇺🇸 :
Vp Kwangu imekataa kutoka
2026-02-16 20:15:52
1
maickbmichael255
maick B :
me ninayo ambayo aigomi kwenye mtandao wowote
2024-07-08 05:51:23
6
user5258102343273
mayombe :
nenda kwenye sehemu imeandikwaa block incoming call minyaa hapo
2025-02-01 12:22:06
2
msalambya
dismas kuluchumila :
nmejaribu lakini wapi?
2024-07-04 13:53:06
7
theb_brandstore
theb_brandstore :
Mitandao yote???
2024-07-05 09:12:50
3
ulinatk
Jacklyn,💞 :
me nataka kwa m2 mmoja
2025-05-27 14:39:47
2
._mrmoney
🦂 :
je unaweza ona calls zlizokupgia kipindi umeweka io code?
2025-03-29 17:32:29
2
bukurltlg1k
@bukuru09 Moise Bukuru :
Whatsapp nayo
2024-08-17 04:59:47
1
tention_junior
FAßY_FEY👽 :
huna group whatssapp tuunge
2025-06-09 17:11:54
1
amjacque39
black beuty 💜🦋 :
Jamna me nilisetting whasppstatus mtu akipost status yake ni wenaiona but yey ajui km nimeviwer asa nataka nitoe nimesahu jinsi yakutoka mwanakitaa
2024-07-04 11:41:42
3
user61682349751751
Jese alpha🤳 :
inakubali tigo pekeee...asante sana acha wanitafute had watanifata ninilpo
2024-08-04 10:04:06
2
kidaa168
Dr. Lambo :
bro nisaidie Sim yang nikipiga hazitoki nilibonyeza*21#
2024-08-16 12:01:24
2
febbykikotikikoti
febby :
mbona ushatoboa sr Tena tishsjis😂😂
2024-09-15 16:47:58
1
giribati.giridius
Giribati Giridius :
mwana kitaa nimekukubar code lmekubar lakin nikwenye lain ya voda tu kwenye arter haifany kaz tupe na za arter broo
2024-07-13 20:23:34
0
jescachitalilo0
Jessy store :
Me nimefanya hivyo lakini kila nikitoa haitaki sm inasema inatumika tu nifanyeje kutoa mbona inangoma
2025-09-09 00:39:34
0
bady_motor_bike2002
Bady_motor_bike :
Nouma sanaaa
2024-07-04 11:11:09
2
afrikasalular
khansalular :
wewe acahaa swagga nyingi sana hiyo code haipo
2024-07-05 23:05:11
1
wizdom4578
Wizdom45 :
hii code ni mtandao wa tigo tu ndo itakubali
2024-07-07 13:48:50
1
caryciossam
🦋CARY🌸 :
imekataaa mm
2024-07-06 20:26:10
1
tumhiyo
tum-hi-ho :
nisaidie kati ya iphone copy na iphone original coz zipo Iphone copy from caliphonia
2024-07-05 11:15:08
1
barynyuz45
Wee Mman'ga :
mwenye laini ya tigo ndo itakubali2
2024-07-20 07:23:08
1
young_buder2
young_buder :
simu kumaliza
2024-07-04 13:31:37
0
To see more videos from user @simukitaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About