@mgaya_king24: #tanzaniantiktok🇹🇿

dvs mgaya
dvs mgaya
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 04 July 2024 15:12:29 GMT
174079
5074
173
767

Music

Download

Comments

user9581510383968
sigiti mashaka :
i hear dar es sulam😂
2024-07-05 20:06:00
1
drkashmiri01
DrKashmiri :
izo dola billion 12 anatengeza ndan ya week😏😏😏
2024-07-06 03:10:29
1
user5530440079600cerag
grace hebron :
GOD bless me oooh!!!!
2024-07-05 17:13:02
0
ricadoor2
user9543365678779 :
nakajua akaaa kachaliii nilifika burney akanilaza njeee mie najua niko.ndani. anatishaaa 😂😂😂😂😂😂
2024-07-04 19:03:06
1
simmy_magari
Simmy_magari CaR DeALeR :
Ilo n jna au n salam
2024-07-05 05:51:18
0
user9079298886004
mohammedy 𝐍𝐚𝐬𝐬𝐨𝐫 🕹🚀 :
Duuh 😂😂
2024-07-04 18:36:03
0
deemoney1341
Dee~MONEY :
Huwezi amini na yeye akifa anaenda chini sio juu. Yote ni ubatili na kujilisha upepo alisema mfalme suleiman tajiri kuliko wote walowahi kutokea. Kikubwa tumia mali zako kumpendeza Mungu
2024-07-05 04:26:25
12
user7160155919412
ombewa kennedy :
alafu nipo mimi naishi nyumba ya kupanga bila hata umeme,nategemea sola
2024-07-05 03:56:56
11
samchuda00
sam chuda :
Iyo ndio nchi wananchi wake wote sio maskini wana enjoy maisha kinoma
2024-07-05 03:17:11
15
user1793743590810
msingida :
ww chizi Elon musk ana billion 283 unazungumzia billion 12 si unaumwa akili ww
2024-07-04 16:49:16
0
renelilac9
Renee lilac🦋🦋 :
Kikubwa akifa hazikwi na kitu ni yeye na sanda 😤
2024-07-05 10:11:44
2
hashimmusii4
Hashim Musii :
Marekani hawamuoni au nini tatizo?
2024-07-05 05:39:14
3
maryamabdalla506
maryamabdalla506 :
Huyu mfalme roho mbaya sanaa watu wake wateseka MASKINI sanaa
2024-07-05 06:43:00
0
mman46
mman33Nasser :
Hizo ni anasa za kidunia tu, jee kajiandaa vipi na maisha ya milele 😌😌
2024-07-05 18:39:34
2
almtusi00
user5650404161334 :
Maashaallah asifanye kufuru tu
2024-07-04 16:36:20
2
jsmitimingi
jsmitimingi :
uongo huo
2024-07-05 00:30:32
0
smartboymax711
Smart Boy Max711 :
nchi yake ni Moja ya nchi Tajir na watuu wasio na shida Yan bata juu kuku 💯💯💯
2024-07-05 06:03:34
2
_.bamsibey
BAMSI BEY⚔ :
hii nchi ubalonzi wake uko wapi ukitaka kwenda kutembea
2024-07-04 18:37:24
2
cutemillah2
cutemillah :
Alafu Kuna mm hapa sitambuliki hata na nchi yngu zaidi ya usajili wangu kupata stakabadhi serikalini🤣🤣🤣🤣
2024-07-06 19:38:34
1
jescaroberty
Jesca Robert :
Nitafutiwe kazi huko
2024-07-05 11:01:45
1
kelvinsangajr
Calvin sanga :
motor wake ni mchezaji tajir dunian
2024-07-04 18:22:02
1
richardcleophace4
Richard Cleophace :
mbona sio tajiri no: Moja duniani
2024-07-08 14:01:45
0
hamadallyy
MMH :
😁😁😁😁ILO JINA SI MCHEZO KITABU KIZIMAAAA
2024-07-08 09:37:15
0
ummuleylah_tz
L E Y L A 🇹🇿 :
Naomba namba yake tafadhari😢
2024-07-07 17:04:49
0
mufasa1445
Mufasa🦁 :
Uongo
2024-07-07 13:56:59
0
To see more videos from user @mgaya_king24, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About