@dr.jessy09: Nambo haya yatakussidia kupunguza michirizi✍️ #tiktok #fy #capcut #capcut #fy #fypage #fyppppppppppppppppppppppp #fypp #fypシ #fypdong #fypgakni #fypsounds #fypviraltiktok🖤シ゚☆♡ #foryou #foryoupage #trend #trendingvideo #trendingtiktok #WomenOfTikTok #WomenOfTikTok #tiktoknews #viral #goviral #4u #foru #LearnOnTikTok

Dr Jessy
Dr Jessy
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 05 July 2024 10:35:50 GMT
134216
3403
103
232

Music

Download

Comments

salaho906
salaho :
dr kaelezea vizuri sana tumieni jaman me nilitumia ya parachute yaani sijui michirizi imetoka lini najikuta tu imefifia kabisaa ila unatakiwa kuwa mvumilivu inachukua mda kidg ukizingatia inatoka kabs
2024-07-06 06:09:58
12
naistar3
nainai7210 :
asanteee 😁 na kukojoa mara kwa mara kwa mjamzito ni hatari
2024-07-09 13:47:10
1
user4530535256889
ahmed mohamed said :
mimi tumbo limekuwa jeuci toka nilipojifungua
2025-08-28 20:17:06
1
kidoti9596
kidoti9596 :
da Jessy me nawashwa sana tangu mimba changa Hadi Leo miez 7 nini shida jaman
2024-07-06 13:21:05
2
user9368502073755
user9368502073755 :
doctor samahn naomba dalili za uchungu
2024-07-06 14:46:15
1
officialgloryb
OfficialGlory :
yani dr mm nimjamzito bdo mimba ya miezi6 ninamichirizi kwenye manyonyo kiuno kizima imezunguka nakwenye miguu nimeusi kabisa ivi inasababishwa nanin
2024-07-07 21:05:19
1
lydia7537
Lydia :
upo wap
2024-07-10 09:25:19
2
dorrykamau
Dorcas❤️ :
huyu dada anasaidia sana wanawake jamanj...shida ni kuongea kama news reporter na sio mhudumu wa afya🙃🙃🙃
2024-07-08 17:36:51
6
user2836506142425
0760792904 :
dada samhn unawz jifungua kuanzia wik 36
2024-07-18 16:02:29
1
roby_anne
anneroby :
yan unaongea vzr me naangalia mdomo jmn
2024-07-07 18:51:34
2
chrisshawa87
chrisshawa87 :
hv doctor mbn mm kila nikitoka kujifungua chuchu zinatoka vidonda
2024-07-05 11:41:30
3
madameg71
[email protected] :
mbona chuchu znauma kunyonyesha😭
2024-07-05 12:47:08
1
mercydeclev
Mercy clev :
my favorite doctor, Mungu akulinde😘😘
2024-07-11 09:49:07
7
user7017943836248
user7017943836248 :
samahan docter mimb ikiharibik nachukua mda gan kushik ten
2024-07-06 07:08:03
1
user2695087811170
user2695087811170 :
dokta mm nimetoka kujifungua lakin nimepat maumivu ya miguu na kuwaka moto na kufa ganz hio inatokan na nn
2024-08-26 22:10:37
0
21secilia
secilia ngailo🦂 :
na ukipaka hayo mafuta kabla ya kujifungua inasaidia
2024-07-09 21:18:25
0
user6787521836690magabri
sakaika💝💫 :
Jmn mm nmejifungua miez miwl sasa lakn tumbo limekataa kulud jmn 😳😳
2024-09-20 11:39:05
0
adventinajames
adventinajames :
et doctor Kuna uwezekano wa kutokushika mimba kama mimba imeharibika halaf ukashiriki tendo la ndoa na mwanaume mwingne tofauti na huyo mweny mimba iloharibika
2025-10-14 19:24:36
1
user8286655061496
user8286655061496 :
mafuta yamunyonyo ni mafuta ngani
2024-07-05 12:10:33
1
ayanah9912
ayanah :
nakupendaa dada angu
2025-05-13 18:23:24
0
racheljohn9293
Rachel John :
namichirizi ambayo sio ya uzazi
2024-10-05 07:32:57
0
salha3950
Salha :
dr nakupenda sna ww
2024-10-03 10:11:08
0
user5511915115479
jey :
dr nilitegemea kujifungua mwez wa tisa asa nimeptiliza alf mwanangu anaweza kumaliza ata siku mbli mbila kuchezaaa shida nini
2024-10-03 08:18:43
0
satya_actress
Satya~savri Actress 🌹🫅 :
kama umejifungua mda inasaidia
2025-09-25 10:56:43
0
dr.jessy09
Dr Jessy :
Ya mwilini
2024-07-05 11:39:16
0
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About