aisee hii nyimbo bado kali saana .....gonga like kama unamkubali mr BLUE 💙
2024-07-08 21:56:41
58
Mariam Mamu :
zamani nilikuwa nampendag sana mr brue nikisikia hii nyimbo yake navurugwa kabisa lakin saiv kawa mbaya na mshavu yake kma anatafuna maandaz🤣🤣🤣
2024-07-08 21:39:01
9
WílzôneCODM.🪐 :
watoto wa mwaka wa pesa(2000) wanashangaa kumuona blue na uwo muonekano🤣🤣🤣
2024-07-08 21:15:06
13
Nania 19 :
he looks 17 in this video 🥰
2024-07-28 10:31:52
3
Hood Rat Masimba :
blue 💙💙💙💙 to world 🌎🌎🌎
2024-07-20 18:09:29
8
Tanganyika Chakupewa :
oyaaa jamaaa unaweza sanaaa nipingie ngoma ya jonh woka walimu wana hali ngumu
2024-07-13 07:55:15
5
💖Empress chichi🫦🇰🇪 :
Hii ngoma ndio ilifanya nianze kupenda bongo aki😘
2024-07-09 00:49:18
4
tembo :
Ila mikologo bana hapo alikuepo wa 2000 hawawezi kuerewa 🥰🥰
2024-07-25 20:57:52
3
S-hans❤🎀 :
hizi outfit hunimada aki☺️😂
2024-07-09 19:03:58
7
DRAGON🐉abdo :
dude made rizz easy for us backthem
2024-07-10 07:00:25
8
zuwena5_official :
me nakumbuka nyakato duh kuna kijamaa kilikuwa kinaniimbia dah🤣🤣🤣
2024-07-17 17:56:28
5
nebulazzkenya :
GEN Z hawajui hii MAPOZ NA WEE ORIGINAL..
2024-07-30 16:53:12
4
garnet _ Wallace555 :
Oldies are goldies.. My childhood crush 🤭
2024-07-13 00:56:37
3
Razah the boss :
hii nyimbo ilinifa mpaka nikamkubalia bf wangu was Kwanza cz alikua akiniandia Barua Na Barua yenyewe ilikua imejaa Huu wimbo.big up cabaisa
2024-07-10 12:17:03
6
toto la kinyamwezi :
nalikua napenda huyu jamani secret Admire
2024-07-11 16:27:39
3
didomimi :
Enzi hizo kisura chaupole sasa hiv sura ya hip hop😂
2024-07-08 11:06:23
6
user2319261400772 :
naikubali🔥
2024-08-17 04:16:46
2
calvinba360 :
hi ndio original mapoz... blue blue kila kitu blue.unanikumbusha mbali🇰🇪💯
2024-08-06 03:45:43
2
abdirizak087 :
Nifanye nini ili unielewe?
Nikupe nini ili niwe na wewe?
Au majumba ya kifahari
Ili twende home tukajivinjari
Unajua sababu sina pesa
Ndo dhumuni la kunitesa
Unajua sababu sina pesa
2024-09-18 15:37:18
2
Jecktophelly :
when people have the meaning of life
2024-07-09 19:56:38
4
YassirGk🇺🇸 :
Ngoma haijafa hadi leo 🙄duh hahaha mapozi ya mondi ipo wapi salut legend
2024-07-15 14:56:39
1
wakandaforever :
ileweza sana hizi enzi👌👌👌👌
2025-07-05 15:15:39
1
Lameck Mangwenje :
byser kma byser
2024-08-11 09:07:38
1
🧚🏻♀️Hal🫶 :
How old is he right now🤔
2025-10-15 18:49:30
1
Gomez 788 :
old school
2024-07-08 21:41:40
3
To see more videos from user @osmanfredo, please go to the Tikwm
homepage.